Karibu kupata Research Consultation

Karibu kupata Research Consultation

Joined
Jul 11, 2020
Posts
66
Reaction score
145
Je unafanya Dissertation na unahitaji msaada wa kitaalamu kuhusu namna bora ya kuandika au kusaidiwa kuandika ili uweze kupata Master's degree au Kupublish kazi yako?

Karibu! Tupo kwa kazi hiyo na bei zetu ni nafuu, tunaandika na kushauri kuhusu research kwenye field zote

Tuko na Certification za Uandishi wa Research kutoka World Bank na Author Aid, aidha tumefanya vizuri Dissertation zetu bila kusumbuana na supervisors

Tunasaidia yafuatayo

1. Namna bora ya uandishi wa kila kipengele

2. Namna ya kuweka 'Model' inayoendana na Variables zako

3. Kwa watumiaji wa Primary data tunatengeneza questionnaire zilizozingatia objectives za research

Huduma nyingine

1. Kufundisha matumizi ya Statistical Packages esp. STATA na SPSS

2. Namna ya kutumia internet kurahisisha uandishi wa research yako nk

Tunapatikana ndani ya Dar, lakini tunafanya kazi na mtu wa mkoa wowote

Kwa mawasiliano.. +255 623 509 409

Email.. researchsolutiontz@gmail.com
 
Je unafanya Dissartation na unahitaji msaada wa kitaalamu kuhusu namna bora ya kuandika au kusaidiwa kuandika ili uweze kupata Master's degree au Kupublish kazi yako?

Ili mtu aweze kujiunga na ngazi ya masters inatakiwa awe na Gpa ya ngap
 
Oya mkuu SPSS soma kupitia you tube kama excel unaweza SPSS hutashindwa labda umuambie akufundishe SAS au R Package mkuu. Ila ni maoni tuu
Mkuu, hata gari unaweza ukajifunza mwenyewe na ukaweza ila baadhi ya sheria za barabarani hutoweza kuzijua hadi uende VETA au NIT.
Kwa maoni yangu kama atapata muda aende kwa hao jamaa akafundishwe ili apate mwanga baadae vingine atakazia kwenye you tube.
 
Oya mkuu SPSS soma kupitia you tube kama excel unaweza SPSS hutashindwa labda umuambie akufundishe SAS au R Package mkuu. Ila ni maoni tuu
Aende akapate somo kwa hao jamaa.you tube anaweza asiambulie hata kidogo.SPSS sio package nyepesi hivyo
 
Mafunzo ya SPSS Mnachaji kiasi gani?
Bei zetu ni nafuu, Tafadhali wasiliana nasi

Kwa ushauri: Ni muhimu kufahamu statistical packages zinazotumia codes ili iwe rahisi kushare .do file inapotokea unataka kufanya publication(baadhi ya journals huwa wanataka kuona namna ulivyorun commands)
 
Oya mkuu SPSS soma kupitia you tube kama excel unaweza SPSS hutashindwa labda umuambie akufundishe SAS au R Package mkuu. Ila ni maoni tuu
R Package ni nzuri, na inazidi kujiongezea umaarufu kwa sasa, lakini kwa Tanzania bado tunatumia STATA(angalia household survey za NBS)

Kama mtu ana kichwa kizuri, R works better na ina vitu vingi zaidi ya STATA
 
Je unafanya Dissartation na unahitaji msaada wa kitaalamu kuhusu namna bora ya kuandika au kusaidiwa kuandika ili uweze kupata Master's degree au Kupublish kazi yako?

Karibu! Tupo kwa kazi hiyo na bei zetu ni nafuu, tunaandika na kushauri kuhusu research kwenye field zote

Tuko na Certification za Uandishi wa Research kutoka World Bank na Author Aid, aidha tumefanya vizuri Dissertation zetu bila kusumbuana na supervisors

Tunasaidia yafuatayo

1. Namna bora ya uandishi wa kila kipengele

2. Namna ya kuweka 'Model' inayoendana na Variables zako

3. Kwa watumiaji wa Primary data tunatengeneza questionnaire zilizozingatia objectives za research

Huduma nyingine

1. Kufundisha matumizi ya Statistical Packages esp. STATA na SPSS

2. Namna ya kutumia internet kurahisisha uandishi wa research yako nk

Tunapatikana ndani ya Dar, lakini tunafanya kazi na mtu wa mkoa wowote

Kwa mawasiliano.. +255 623 509 409

Email.. researchsolutiontz@gmail.com

Wewe ni mbabaishaji tu, hata neno dissertation limekushinda kuandika eti unaandika dissartation! Loh! Ndiyo utajua kufundisha mtu mambo ya research? Nyie ndiyo vishoka kweli kweli!
 
Mbona una maneno makali sana bosi. Ilo ni tatizo la kibinadamu hata wewe linaweza likakutokea. Ni suala la kumrekebisha tu na sio kutumia maneno makali kama hayo.
 
Msomi anarekebishwa vipi na yeye ndiyo mahiri wa uandishi wa dissertations na researches! Au ndiyo nyie mliotupia hiyo thread hapa??
Mbona una maneno makali sana bosi. Ilo ni tatizo la kibinadamu hata wewe linaweza likakutokea. Ni suala la kumrekebisha tu na sio kutumia maneno makali kama hayo.
 
Wewe ni mbabaishaji tu, hata neno dissertation limekushinda kuandika eti unaandika dissartation! Loh! Ndiyo utajua kufundisha mtu mambo ya research? Nyie ndiyo vishoka kweli kweli!
Nashukuru kwa marekebisho hayo!

Nakuja kwenye hoja ya 'Ubabaishaji'. Kama umesoma ndani ya Tanzania utaona jinsi wahadhiri wakisumbuka kwa kiingereza, je wanakuwa hawajui wanachofundisha?

Aidha kama una master's degree na kuendelea utakuwa ulipata marekebisho kadhaa kutoka kwa supervisor, naomba uyapitie uyaangalie, utakuta hata marekebisho anayokupa supervisor wako hautakosa makosa kwenye 'comments' zake

Hoja: Soma program yoyote ya uandishi wa tafiti kwa nje ya nchi watakushauri vitu hivi

1. Kutumia software kurekebisha kiingereza
2. Kumtumia mwenzako yoyote ili aipitie na kurekebisha kabla ya ku-submit

Na watakuambia haijalishi unajua kiingereza kiasi gani, ni muhimu kufanya hivyo kwa kuwa kuna makosa kwa sababu tofautitofauti
 
Back
Top Bottom