Wapendwa wasomaji,
naitwa Lennard, natoka Ujerumani na nilifanya kazi mwaka jana kwa Tanzania Renewable Energy Association. Bado nasoma gazeti ya Tanzania na minapenda kuhifadhi mawasiliano na wabongo🙂
Pia ningependa kurudi Dar Es Salaam kwa ajili ya internship mwaka huu!
Wasalaam,
Lennard