Karibu itv ktk king'amuzi cha zuku.

Karibu itv ktk king'amuzi cha zuku.

MPINGE

Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
43
Reaction score
4
Wadau wa king'amuzi cha zuku naomba kwa umoja wetu tuipongeze hii kampuni ya zuku kwa kuwa sikivu juu ya ombi la sie wateja wake wa zuku baada ya kutuwekea ITV na tunatarajia watatuwekea STAR TV hivi karibuni. Nawapongezeeni sana kampuni ya ZUKU.
 
Back
Top Bottom