Karibu Dubai

Dubai Dubai Dubai.... aha. Dubai jiji kali.... mara yangu ya kwanza kufika nilishangaa ... kwa kweli ni kuzuri sana
 
Hii dubai ukiwa angani ni mzuri dah...waarabu nomewaheshimu sana
 
Hii dubai ukiwa angani ni mzuri dah...waarabu nomewaheshimu sana

Yaani kama Dar-Es-Salaam unavyoiona unapokuwa angani,tofauti sio kubwa sana aisee,kwa tumbo umeshaiona ukiwa angani Dr.Mo??
 
Yaani kama Dar-Es-Salaam unavyoiona unapokuwa angani,tofauti sio kubwa sana aisee,kwa tumbo umeshaiona ukiwa angani Dr.Mo??
Kuna tofauti kubwa sana...dubai wapo mbali sana...huwezi fananisha na bongo...warabu wameshaiteka dunia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…