Chuo cha Maji
Member
- May 4, 2017
- 54
- 34
Habari wana Jukwaa.
Chuo cha Maji kinatoa huduma zifuataza katika sector ya maji na mazingira:
· Utafiti wa maji ya ardhini (groundwater exploration).
· Usimamizi na uchimbaji wa visima virefu vya maji (deep borehole drilling) kwa kushirikiana na Drilling and Dams Construction Agency (DDCA).
· Upimaji wa ubora wa sample ya maji (water quality tests).
· Ushauri katika sector mbalimbali za maji na mazingira.
Chuo kipo Dar es Salaam, Ubungo, Barabara ya Chuo Kikuu. Unaweza kuwasiliana nasi kwa namba za simu: +255222410040 au email: rector@waterinstitute.ac.tz website: www.waterinstitute.ac.tz
Vilevile tunaendelea kupokea maombi ya kujiunga na Masomo ngazi ya Diploma mwaka wa Masomo 2017/2018 hadi tarehe 01 October 2017.
Karibuni sana.