Omary Kipingu
Member
- Feb 22, 2016
- 40
- 48
HONGERA BALOZI SEFUYE , KARIBU BALOZI KIJAZI
Pongezi za dhati kwa katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni sefuye kwa utendaji mzuri kwa kipindi chote alichokuwa katika nafasi hiyo. Ni ukweli usiopingika kuwa Balozi Sefuye amefanya kazi nzuri sana katika serikali zote mbili awamu ya NNE na awamu ya Tano, HONGERA SANA BALOZI SEFUYE KWA KAZI NZURI ULIYOIFANYA KATIKA KIPINDI CHOTE CHA UONGOZI WAKO, MUNGU AKUBARIKI.
KARIBU SANA Balozi Kijazi KATUBU MKUU KIONGOZI MPYA kuendeleza pale mtangulizi wako alipoishia, tunaamini utafanya kazi kumsaidia Mh. Raisi kutimiza malengo aliyokuwa nayo na matarajio ya wananchi juu ya Tanzania mpya ambayo tunaimani kupitia Serikali hii ya HAPA KAZI TU chini ya Jemedari JPM tutafika. Tunaamini uwezo wako na utendaji wako bora ndio uliyokufanya uteuliwe na Mh. Raisi kuchukua nafasi hii iliyoachwa na mtangulizi wako. TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI KATIKA NAFASI MPYA ULIYONAYO SASA, TUNAIMANI NA WEWE HUTAMUANGUSHA MH. RAISI.
#HAPA KAZI TU
#LONG LIVE TANZANIA