kipipili JF-Expert Member Jul 29, 2009 1,590 183 Mar 4, 2011 #21 mshikachuma said: Kaka najitahidi sana mpaka nakaribia kushindwa! nafikiri hapa tunahitaji tawi la CDM haraka iwezekanavyo na tulifunguwe kwa mbwembwe Click to expand... watakuja kuipenda ikiwa chama tawala pamoja na wenzao wa kusini na watagundua kuwa wamechelewa saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana
mshikachuma said: Kaka najitahidi sana mpaka nakaribia kushindwa! nafikiri hapa tunahitaji tawi la CDM haraka iwezekanavyo na tulifunguwe kwa mbwembwe Click to expand... watakuja kuipenda ikiwa chama tawala pamoja na wenzao wa kusini na watagundua kuwa wamechelewa saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana
kipipili JF-Expert Member Jul 29, 2009 1,590 183 Mar 4, 2011 #22 mshikachuma said: Kaka najitahidi sana mpaka nakaribia kushindwa! nafikiri hapa tunahitaji tawi la CDM haraka iwezekanavyo na tulifunguwe kwa mbwembwe Click to expand... Hakika hautashindwa, wave ya mabadiliko itawakumba tu, time will tell. Fikiria ilkuwaje mwanza kabla ya 2010. Nafikiri tulikuwa hatuna hata diwani sasa tuna wabunge watatu na halmashauri mbili.
mshikachuma said: Kaka najitahidi sana mpaka nakaribia kushindwa! nafikiri hapa tunahitaji tawi la CDM haraka iwezekanavyo na tulifunguwe kwa mbwembwe Click to expand... Hakika hautashindwa, wave ya mabadiliko itawakumba tu, time will tell. Fikiria ilkuwaje mwanza kabla ya 2010. Nafikiri tulikuwa hatuna hata diwani sasa tuna wabunge watatu na halmashauri mbili.