Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,283
- 33,881
Zamiluni,Hakika Jijila DAR-ES-SALAAM lina historia nyingi sana.... Ndg. Mohamed Said naomba ukipata wasaa tumwagie Historia za shule za elimu za hapo dar !!!
Kama bunge la sasa pale idodomyaVijana wa miaka ya 80 hizi historia zimetupita kushoto sana sana tunasoma zile ambazo zishachujwa either kuficha ukweli au kuongezwa chumvi.
Hakika Jijila DAR-ES-SALAAM lina historia nyingi sana.... Ndg. Mohamed Said naomba ukipata wasaa tumwagie Historia za shule za elimu za hapo dar !!!
Zamilu, unaulizia historia za shule kwa Muslim Fundamentalist!, ungeulizia hitoria za madrasa hapo ungepata!, maana Maalim Mohamed Said mwenyewe kasoma shule za mission!, huyo Hamza Mwapachu naye kasomesha wanaye Juma na Bakari shule za mission!, wakati wengine wakijikita kutengeneza mashule kuelimisha, wengine walikuwa bize na madrasa, cha ajabu, hao hao walioponeo shule za mission ndio wamekuja kuwa watu wa maana sana, ila hata shukrani kidogo tuu ya japo kutaja historia ya shule za mission zilizowakomboa, kamwe hutasikia, lakini ....Zamiluni,
Sina nijuacho katika hayo.
MNYONGE MNYONGENI LAKINI "HAKI YAKE MPENI"Zamilu, unaulizia historia za shule kwa Muslim Fundamentalist!, ungeulizia hitoria za madrasa hapo ungepata!, maana Maalim Mohamed Said mwenyewe kasoma shule za mission!, huyo Hamza Mwapachu naye kasomesha wanaye Juma na Bakari shule za mission!, wakati wengine wakijikita kutengeneza mashule kuelimisha, wengine walikuwa bize na madrasa, cha ajabu, hao hao walioponeo shule za mission ndio wamekuja kuwa watu wa maana sana, ila hata shukrani kidogo tuu ya japo kutaja historia ya shule za mission zilizowakomboa, kamwe hutasikia, lakini ....
Yote tisa, kumi Carriers Coop ilipendeza!.
Pasco
Pasco carriers coop ya wapi tena? Pls ukiwa na ishu za maana use unanitupiemoZamilu, unaulizia historia za shule kwa Muslim Fundamentalist!, ungeulizia hitoria za madrasa hapo ungepata!, maana Maalim Mohamed Said mwenyewe kasoma shule za mission!, huyo Hamza Mwapachu naye kasomesha wanaye Juma na Bakari shule za mission!, wakati wengine wakijikita kutengeneza mashule kuelimisha, wengine walikuwa bize na madrasa, cha ajabu, hao hao walioponeo shule za mission ndio wamekuja kuwa watu wa maana sana, ila hata shukrani kidogo tuu ya japo kutaja historia ya shule za mission zilizowakomboa, kamwe hutasikia, lakini ....
Yote tisa, kumi Carriers Coop ilipendeza!.
Pasco
'Carriers Coop'? Nani alikudanganya.., Kariakoo ilikuwa imepangwa kwa ajili ya makazi ya makazi ya makuli, hivyo kuitwa 'Carriers quarters' na sio coop (banda la kuku)Zamilu, unaulizia historia za shule kwa Muslim Fundamentalist!, ungeulizia hitoria za madrasa hapo ungepata!, maana Maalim Mohbize na madrasa, cha ajabu, hao hao walioponeo shule za mission ndio wamekuja kuwa watu wa maana sana, ila hata shukrani kidogo tuu ya jap......
Yote tisa, kumi Carriers Coop ilipendeza!.
Pasco
co-op.'Carriers Coop'? Nani alikudanganya.., Kariakoo ilikuwa imepangwa kwa ajili ya makazi ya makazi ya makuli, hivyo kuitwa 'Carriers quarters' na sio coop (banda la kuku)