Ingawa post #1 na yenyewe haina "contents" imekaa kijinni jinni tu.
Kwa kukujuza tu. Majinni yapoo kila sehemu, lakini ni kweli kabisa, Kariakoo yapo majinni. Tena Kariakoo yapo majinni aina nyingi tu.
Kuna majinni ya asili yanayoishi maeneo ya Kariakoo, kuna majinni ya kichawi yanayokuja na kuondoka. Pia kuna watu wenye majinni wa kila aina.
Licha ya majinni, kiuna Mashetani wengi sana wa kijinni na kibinadam.