Kariakoo Derby records (Simba Vs Yanga) | Ligi kuu Tanzania bara | Special thread

Wazee wa maktaba mmeanza baada ya matumaini ya Ubingwa kuyeyuka taratibu
Simba inaweza kuvunja rekodi endapo itaweza kuchukua ubingwa wa ligi,mwaka huu itakuwa ni mara 4 mfululizo hamna timu imewai kufanya hivyo.
Yanga imewai kuchukua mara 3 mfululizo na simba mara 3.
Tusubiri maajabu ya kuvunja rekodi kwa simba.
 
Badala mtafute kocha mnahangaika kutuletea historia, next season Simba tunawabeba tena kwenda Klabu Bingwa mkalitie aibu taifa na historia zenu, uto mmechoka akili, mwili, na roho, mnatakiwa mpumzike kwa amani.
 
Simba Sc amejiwekea rekodi ya kuwa timu ya kwanza kutoka Africa kumfunga Pitso Mosimane tangu atangazwe kuwa kocha wa Al Ahly.

Kabla mechi dhidi ya Simba Sc alikuwa hajawai kufungwa na timu ya Africa mechi ya kwanza kupoteza ilikuwa dhidi ya Buyern munich.
Kufungwa mechi 2 kati ya 28 alizoingoza timu hiyo kubwa barani Africa.
 
Mapinduzi Balama,Issa Mohammed Banka na Saimon Msuva ni wachezaji wa kitanzania wa klabu ya Yanga waliofanikiwa kufunga goli katika mechi za derby ya Kariakoo ndani ya miaka 7 mpaka sasa hakuna mchezaji mwingine aliyewai kufunga goli mechi ya matani ndani ya mda huo.
Tusubiri maajabu hapo mbeleni.
 
Nyani FC imekuwa club ya kwanza kuvunja bench la ufundi x 3 wakiongoza ligi kwa kuhofi ubora wa Simba.
 
Simba imekuwa timu ya kwanza kuifunga timu 4 za Masri. ... Al Ahly, Zamalec, Arab Contractors & Mehala el Kubra
 
Sio kwel simba kashawai chukua Mara 5 mfululizo Yanga kawahi chukua miaka 4 mfululizo
Simba Sc amejiwekea rekodi ya kuwa timu ya kwanza kutoka Africa kumfunga Pitso Mosimane tangu atangazwe kuwa kocha wa Al Ahly.

Kabla mechi dhidi ya Simba Sc alikuwa hajawai kufungwa na timu ya Africa mechi ya kwanza kupoteza ilikuwa dhidi ya Buyern munich.
Kufungwa mechi 2 kati ya 28 alizoingoza timu hiyo kubwa barani Africa.
 
Simba imekuwa timu ya kwanza kuifunga timu 4 za Masri. ... Al Ahly, Zamalec, Arab Contractors & Mehala el Kubra
Yanga ndio timu pekee Africa mashariki na kati kucheza na bingwa ligi kuu ya uingereza mwaka 1971 ilikuwa ni Astonvilla.
Matokeo yalikuwa sare ya goli 1-1.
 
Simba inaweza kuvunja rekodi endapo itaweza kuchukua ubingwa wa ligi,mwaka huu itakuwa ni mara 4 mfululizo hamna timu imewai kufanya hivyo.
Yanga imewai kuchukua mara 3 mfululizo na simba mara 3.
Tusubiri maajabu ya kuvunja rekodi kwa simba.
Simba ilishawahi kuchukua Mara 5 mkuu ko anayevunja rekodi lazima achukue Mara 6
 
"Payrol Simba ilishawahi kuchukua Mara 5 mkuu ko anayevunja rekodi lazima achukue Mara 6"
Wang Shu Niwakumbushe tu tangu iasisiwe kuwa ligi kuu hamna timu imewai kuchukua zaidi ya 3 mfululizo hizo mara 6 na 5 ni babla haijaitwa Ligi kuu Tanzania bara zamani ikitambulika kama ligi daraja la kwanza.

Bila shaka tupo pamoja mpaka hapo.
 
Sawa umeeleweka

Similar Discussions

Back
Top Bottom