Dah!...si utani. Wanatoa na risiti?
Hapo sio Bongo labda ufunge safari, ni kama kariakoo ya china.wanapatikana mtaa gani nitie maguu huko si unajua kijijini kwetu hzo sikosi buku 20 kwa kila moja hasa hizo touch.
na risiti unaweza pewa feki kama simu zenyeweRisiti kariokoo tena? Huko hamna garantii mama...ukinunua simu bomu ujue ndio imekula kwako.
na risiti unaweza pewa feki kama simu zenyewe
kwa wachina hakuna kinachoshindikana mdogo wanguha ha haaa!!! Umenifurahisha sana dada angu.