Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,018
Hivi hapa si ni sawa na wale polisi wa Mtwara walivyokataliwa kujichunguza..!! Yaa rais wa TFF, azozane na Manara, halafu kama ya TFF isikilize kesi inayomuhusu rais wao..!!Nimesikitishwa kwa kitendo cha Rais wa TFF ndugu yangu Karia kurushiana maneno na msemaji wa Yanga, japo watu wanasema Manara kamtukana Karia lakini maneno mazito ambayo ni matusi yalitoka kwa Karia sio Manara (ushahidi upo) Uzuri ni kwamba kuna watu wawili walirekodi audio ya tukio Zima na wachache walirekodi Video. Nashauri kamati imwite Karia pia kila mmoja aseme kilitokea nini na atakayetiwa hatiani aadhibiwe na ikiwa wote watatiwa hatiani waadhibiwe wote. Ndugu yangu Karia huwa unajitamba kuwa wewe ni mtu wa serikali, ila hapa tukitumia ushahidi wa hii video huchomoki, halafu awamu hii sio ile kuwa mpole mzee.
Swali gani bwana wewe? Huyu kwani mara yake ya kwanza kufundisha timu ya taifaAliyeshindwa kupeleka Tim afcon iliyopita ni ndairagije..hujajibu swali langu
Mara yake ya kwanza 'goli kilikua halijapanuliwa'...stars yake ilikua inaugonga mwingi,nakumbuka Morocco alipasuka 3 kwa mkapa na pira lilipigwa jingi,tulivoenda kwao Cha kwanza ni kumpa red Morris,wakatangulia mbili,tukarudisha moja,goli imara la kiemba..stars ya kwanza ya Kim ilikua motoSwali gani bwana wewe? Huyu kwani mara yake ya kwanz kufundisha timu ya taifa
Wewe watu wanataka ufuzu sio ulicheza vizuri bwana wewe...hizo ni statements za losers....winners wanapiga ball na kombe wanachukua. Huyu hatujafuzu period.Mara yake ya kwanza 'goli kilikua halijapanuliwa'...stars yake ilikua inaugonga mwingi,nakumbuka Morocco alipasuka 3 kwa mkapa na pira lilipigwa jingi,tulivoenda kwao Cha kwanza ni kumpa red Morris,wakatangulia mbili,tukarudisha moja,goli imara la kiemba..stars ya kwanza ya Kim ilikua moto
Sasa hivi hutaki Tena mpira mzuri!!!!?..ulisema wa Ethiopia anacheza mpira mzuri!!..Kama unataka kufuzu mrudishe amunikeWewe watu wanataka ufuzu sio ulicheza vizuri bwana wewe...hizo ni statements za losers....winners wanapiga ball na kombe wanachukua. Huyu hatujafuzu period.
And mind u ethiopia walifuzu not a single player anacheza nje ya nchi yao. Yeye ana msuva samatta himid novatus bado anatuletea zakuleta.
Mpira mzuri na matokeao kaka sasa wee mpira mzuri alafu baadae tunaanza kuna pumbuz huku tunaangalia mpira kwa chupa nani anataka hiyoSasa hivi hutaki Tena mpira mzuri!!!!?..ulisema wa Ethiopia anacheza mpira mzuri!!..Kama unataka kufuzu mrudishe amunike
Haya banaMpira mzuri na matokeao kaka sasa wee mpira mzuri alafu baadae tunaanza kuna pumbuz huku tunaangalia mpira kwa chupa nani anataka hiyo
Sasa awamu ile ndio angelia kuliko awamu hii.Nimesikitishwa kwa kitendo cha Rais wa TFF ndugu yangu Karia kurushiana maneno na msemaji wa Yanga, japo watu wanasema Manara kamtukana Karia lakini maneno mazito ambayo ni matusi yalitoka kwa Karia sio Manara (ushahidi upo) Uzuri ni kwamba kuna watu wawili walirekodi audio ya tukio Zima na wachache walirekodi Video. Nashauri kamati imwite Karia pia kila mmoja aseme kilitokea nini na atakayetiwa hatiani aadhibiwe na ikiwa wote watatiwa hatiani waadhibiwe wote. Ndugu yangu Karia huwa unajitamba kuwa wewe ni mtu wa serikali, ila hapa tukitumia ushahidi wa hii video huchomoki, halafu awamu hii sio ile kuwa mpole mzee.