Duh wee kweli hujui mpira. Anafunga tap ins sasa kwani lengo la striker ni kufanya nini sii kufunga. Just to refresh ur memory van nisteroy agoli yote aliyofunga akiwa man utd alifunga goli moja tuu nje ya box. Over 85% ya magoli kwenye mpira ni tap ins. Elewa kwanza nadharia ya mchezo wenye kaka.Anafunga magoli gani huko ligi kuu!?..tap ins au!?..na kwa nini stars anakua mzito!?..sababu anacheza na wanaojua,anahitaji muda mwingi kufanya maamuzi akiwa na mpira...kocha ndiye ajuaye yupi anafaa kwenye mfumo wake
Van nisteroy aliachwa akiwa bado ana uwezo wa tap ins, kocha hawezi mfanya mchezaji Tena wa timu ya taifa kuwa mwepesi, Hilo linafanyika kwenye timu yake, hawezi kumuanzisha kisa eti anaongoza kwa magoli, jifunze mpiraDuh wee kweli hujui mpira. Anafunga tap ins sasa kwani lengo la striker ni kufanya nini sii kufunga. Just to refresh ur memory van nisteroy agoli yote aliyofunga akiwa man utd alifunga goli moja tuu nje ya box. Over 85% ya magoli kwenye mpira ni tap ins. Elewa kwanza nadharia ya mchezo wenye kaka.
Kwenye soka la africa nyumbani ndio mechi za kushinda sasa wewe upo na top goal scorer unacheza mechi nyumbani unamuweka bench. Defies logic kwa kweli.
Ni kweli usemalo kuwa ukicheza dhidi ya wajuzi wa boli muda wa kufikiri ni mdogo, less time and space. Hapo ndio sasa kama kocha alipaswa kumtia motisha kijana kuwa unacheza dhidi ya wachezaji wazuri katest mitambo yako dhidi ya mabeki wa kimataifa uone level inakuwaje. Good players will always wana play with the best and against the best. Paulson alimnyima kijana fursa hiyo.
Anayewafundisha ndiye ajuaye Nani anastahili kuanzaKwa nini tusimtetee mtu ambaye baada ya hiyo mechi ya taifa karudi kwenye ligi kafunga mechi mbili mfululizo. Huyu mzungu asitufanye sje maboya. Sawa hatujuii mpira kivileee lakini sio kwenye level ya kutokujua nani anastahili kuanza kwenye lineup
Huyo kocha mwenyewe hana jipyaAnayewafundisha ndiye ajuaye Nani anastahili kuanza
Unataka kocha gani!?Huyo kocha mwenyewe hana jipya
Hatujaongelea suala la kiachwa kwa van nisteroy. Point ilikuwa kwamba tap in goals bado ni magoli na kiwa starikers wa hali ya juu wanafunga hayo magoli unayoita tap ins.Van nisteroy aliachwa akiwa bado ana uwezo wa tap ins,kocha hawezi mfanya mchezaji Tena wa timu ya taifa kuwa mwepesi,Hilo linafanyika kwenye timu yake,hawezi kumuanzisha kisa eti anaongoza kwa magoli,jifunze mpira
Yule kocha wa ethiopia national team atatufaaUnataka kocha gani!?
Kwa nini!?Yule kocha wa ethiopia national team atatufaa
Van alikua striker wa kizamani, anasimama mbele kusubiri mipira Kama kagere, striker wa Sasa anafanya build up na kuzuwia, ndivyo stars inavyocheza, mpole efficiency yake ipoje katika Hilo!?Hatujaongelea suala la kiachwa kwa van nisteroy. Point ilikuwa kwamba tap in goals bado ni magoli na kiwa starikers wa hali ya juu wanafunga hayo magoli unayoita tap ins.
Sasa usipo mwanzisha mchezaji anayefunga magoli sii maana yake hujui objective of the game
🤣🤣🤣🤣 Umenikumbusha ishu ya tambwe na phiri, tambwe anapachika mabao kocha phiri anasma huyu jamaa kwa buildup hajui. Sasa nadhani unajua kilichotokea.Van alikua striker wa kizamani,anasimama mbele kusubiri mipira Kama kagere,striker wa Sasa anafanya build up na kuzuwia,ndivyo stars inavyocheza,mpole efficiency yake ipoje katika Hilo!?
Tactical astute, plays beautiful football and he is africanKwa nini!?
Kaangalie Tanzania vs Ivory coast Kama unataka beautiful game za stars ya Kim...stars ile Kim alikaa nayo muda na wengine akitoka nao timu za vijana,labda Kama ulikua hujaanza fuatilia mpira,huyo kocha wa Ethiopia alishinda game ngapi afcon!?Tactical astute, plays beautiful football and he is african
Inategemea kocha anataka timu icheze vipi,hawezi scrapt efficient game plan yake kisa mtu mmoja,maana ukibadili mfumo wa build up unabadili na wachezaji pia🤣🤣🤣🤣 Umenikumbusha ishu ya tambwe na phiri, tambwe anapachika mabao kocha phiri anasma huyu jamaa kwa buildup hajui. Sasa nadhani unajua kilichotokea.
Objective of the game remains the same...kufunga magoli.
Sasa sii umejijibu mwenyewe hapo. Angalau huyo ameweza peleka timu afcon...sie tunaangalia kwa chupa tuuKaangalie Tanzania vs Ivory coast Kama unataka beautiful game za stars ya Kim...stars ile Kim alikaa nayo muda na wengine akitoka nao timu za vijana,labda Kama ulikua hujaanza fuatilia mpira,huyo kocha wa Ethiopia alishinda game ngapi afcon!?
Hayo muachie pep, huyu wetu hajfikia hiyo stageInategemea kocha anataka timu icheze vipi,hawezi scrapt efficient game plan yake kisa mtu mmoja,maana ukibadili mfumo wa build up unabadili na wachezaji pia
Na Wala huna cheti chochote Cha kandanda!?..watz tnajua kila kitu Hadi uhandisi wa nuclear bombHayo muachie pep, huyu wetu hajfikia hiyo stage
Aliyeshindwa kupeleka Tim afcon iliyopita ni ndairagije..hujajibu swali languSasa sii umejijibu mwenyewe hapo. Angalau huyo ameweza peleka timu afcon...sie tunaangalia kwa chupa tuu
Wee bwana huna shida ya kuwa kocha kujua mchezaji mzuriNa Wala huna cheti chochote Cha kandanda!?..watz tnajua kila kitu Hadi uhandisi wa nuclear bomb