BelindaJacob Platinum Member Nov 24, 2008 6,474 4,022 Nov 1, 2010 #1 Kuna yoyote mwenye data za matokeo huko Karatu? Au bado wanaendelea kuhesabu???:thinking:
Meale Member Nov 24, 2009 91 0 Nov 1, 2010 #2 Nilishatoa matokeo ambayo bado hayajatangazwa rasmi soma post zilizopita, Chadema inaongoza.
BelindaJacob Platinum Member Nov 24, 2008 6,474 4,022 Nov 1, 2010 Thread starter #3 Meale said: Nilishatoa matokeo ambayo bado hayajatangazwa rasmi soma post zilizopita, Chadema inaongoza. Click to expand... Naas loale, sijaona mana naona thread za 'results' zimefurika kweli kweli.. Ukipata rasmi dondosha please mkuu!!
Meale said: Nilishatoa matokeo ambayo bado hayajatangazwa rasmi soma post zilizopita, Chadema inaongoza. Click to expand... Naas loale, sijaona mana naona thread za 'results' zimefurika kweli kweli.. Ukipata rasmi dondosha please mkuu!!
Albedo JF-Expert Member Feb 24, 2008 5,559 1,452 Nov 1, 2010 #4 BelindaJacob said: Kuna yoyote mwenye data za matokeo huko Karatu? Au bado wanaendelea kuhesabu???:thinking: Click to expand... Beli CHADEMA wamechukua tena Jimbo na Halmashauri ya Karatu
BelindaJacob said: Kuna yoyote mwenye data za matokeo huko Karatu? Au bado wanaendelea kuhesabu???:thinking: Click to expand... Beli CHADEMA wamechukua tena Jimbo na Halmashauri ya Karatu
BelindaJacob Platinum Member Nov 24, 2008 6,474 4,022 Nov 1, 2010 Thread starter #5 Dk. Ndege ya Uchumi said: Beli CHADEMA wamechukua tena Jimbo na Halmashauri ya Karatu Click to expand... Dr.NuY, shukrani sana yani ni raha ya aina yake..tumsubirie Dr. mwenzio, wale wezi sijui wana agenda gani mpaka sasa!!..
Dk. Ndege ya Uchumi said: Beli CHADEMA wamechukua tena Jimbo na Halmashauri ya Karatu Click to expand... Dr.NuY, shukrani sana yani ni raha ya aina yake..tumsubirie Dr. mwenzio, wale wezi sijui wana agenda gani mpaka sasa!!..