meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,829
mleta mada hupaswi kulaumiwa huu ndio mwisho wa ubongo wako kujua mambo. atakae kulaum atakuwa anamatatizo nae
Mod mim nashangaa sana kwanin thread za kipumbavu Kama hizi mnaziruhusu zinaendelea
mnazidi kumpaisha tu zito na hii miuzi yenu, mwenzenu anawacheka tu
Dah huyu mtoa mada ana ki iq km cha kuku wa mayai
so what????
Umri wangu hauniruhusu kuwa bavichaBavicha yoyote atakayekaa siku moja bila kumwandika Zito kabwe nampatia gari,
Nimejaribu kutafuta matawi ya ACT hapa Mwanza na Musoma baada ya mkutano MKUBWA sijaona hata Bendera, sijui wanatembea nayo kila mkoa!!??
Au ndio yale yale ya KIJANI??