kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,342
- 12,065
Kweli nimeamini watanganyika tunaongozwa na matukio, kuanzia hapa jf, blogs nyingine mpaka magazetini upepo umebadilika, sasa ni Rage, Babu Seya na Zitto. Inakuwaje ishu inamalizika kiholela bila kupata suluhu? Ninashawishika kuamini kuwa inawezekana ishu ya Rage imetengenezwa ili kuiondoa hewani hii ya mwana tabora, mwanaccm na mwanasimba mwenzie, Kapuya!