palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
"Tumefungua jalada, lipo kwa ajili ya uchunguzi na tukibaini kuwa ni nani anahusika na tuhuma hizo tutamsaka na kumkamata popote alipo," alisema Wambura.
tanzania daima ni gazeti la udaku...
Kama binti ameweza kuhojiwa kwa muda wa masaa 12 basi kesi ikifika mahakamani itachukua zaidi ya miaka 3.
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
Jamani haya hamuachi[\color] kuyajadili mumwache kapuya apumue tuhamie kuyajadil ya zito na kitila mkumbo