Kapten jonh komba ndani ya kipindi cha mkasi j3 ijayo

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
886
206
Wana jamvi huyo muimbaji wa ccm wiki ijayo atakua eatv katika kipindi cha mkasi,swali je azungumza nini,je hatomtukana mzee warioba?
 
Mjukuu wake mpenzi LULU hawezi kukosa kumwongelea maana anampenda sana. Hata msituni ataenda naye kudai serikali 2.
 
hivi vipindi vya hovyohovyo ndio vinawafaa ccm, huyu huwezi kumuita kwenye vipindi makini kama jenarali on monday.
 
Back
Top Bottom