Kapata mkasa gani?

Power G

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
3,884
Reaction score
1,201
Hebu nipe jibu, huyu hapa chini kwenye picha unadhani kapata mkasa gani?
 
Amemaliza futru, anasubiri daku
 
Amekula sana baada ya kuwa na njaa kali na sasa anashindwa kupumua.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hebu nipe jibu, huyu hapa chini kwenye picha unadhani kapata mkasa gani?


Ndiyo tatizo la kufunga hilo kuwa alitaka kukikomoa chakula. Ila sidhani kama kashiba maana chakula kimebaki, na sidhani kama kachoka kula kwa sababu angenawa na kuhifadhi chakula sehemu nzuri. Huu mweleka aliokula ni dhahiri kabisa jamaa kala sumu kwenye chakula ama kitu (mfupa, miba, chakula kizito) kimemziba kooni na akashindwa kupumua hivyo kala mweleka na kuaga dunia kwa kukomoa msosi. Wanasema too much of everything is harmful to your health/life.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…