Anaomba ushaur wa kutoboa kimaisha. Kwamba akioa ndo permit tayar hyo ya moja kwa mojaUshauri wa nini na kashasema hawaendani?
Ivyo ulivyotaja mbele sio mchongo.. ila bint ana maisha.. kaz. Usafir nin...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had baas.Kuna siku alipita jamaa na bibi la kizungu tena kaweka mkono wake kwa yule kibibi kwenye kiuno. Nikasema ama kweli waafrika tumekwisha fanywa sex machine.
Kibibi cha nursing home Afrika kapata kijana mbichi na kijana nae anaona Ulaya ileee[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Narudi kwa mleta mada mwambie chali wako huyo mwajuma mwenye rangi ya kizungu.
Mwajuma anataka hela ya saloon na kula huku kwetu, huko Sweden mwajuma anatafuta wa kumpa mimba na kupata child support.
Swali la msingi sanaUshauri wa nini na kashasema hawaendani?
Wakuu nna mwanangu mmoja bana sweden.. ana mwaka wa 3 huu sasa jamaa hana mtoto hana mke wala nin bongo.
Anasoma now..
Jamaa ni wale ma blaza meni yan.. bono alikua anamilik watoto wakal kwelkwel..
Sasa yuko ughaibun katokea kupendwa na bint mmoja wa ki swedish.. bint ni single mama.. anampenda vibaya mno jamaa.. na jamaa anasema labda ni kwasababu anaiwakilisha vzur mno nchi.
Ila sasa bint ni wa kawaida saaaana.. yaan hawaendani na mwana.. ila bint ana maisha.. kaz. Usafir nin... Ila ishu iko hapo kwenye kuendana.. na bint yuko tayar kujenga familia na kuzaa watoto na mwana.. ila sasa mwana ni bishoo sana yaan anasema demu hawaendani..
Anaomba ushaur kwa wadau afanyeje..
Na je akiwa na huyo bint.. maana anawasiwas wa kumcheat badae na kufata vichenched vingne..
Anaomba mumshaur tafadhali.
ajabu!!!Ushauri wa nini na kashasema hawaendani?