[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]Mmh hiyo miguu!
"Tembo ni wa kuwaangalia huko huko mbugani Sio kufuga"
Wengi walisema hivyo kuwa hatakula ila baada ya kuionja waliomba wafundishwe namna ya kuiandaa.Hiyo menu sijawahi kuila wala sitokaa niile bora nilale njaa... ndo maana nikasema haina tofauti na sushii.
kumbe ilikuwa tangu kipindi cha T-bone ila ilibamba....
Huko wanaendaga tu mizimuMatata Land.... ushawahi kufika huko?
Wengi walisema hivyo kuwa hatakula ila baada ya kuionja waliomba wafundishwe namna ya kuiandaa.
Umesahau? Wewe ni mbishi....Mimi ni king'ang'anizi...ntakushawishi tu hadi ule..Hakuna mtu mbishi kama Kasie aiseeeh, sita,ani hata kuionja... labda unichanganyie kwenye chakula kingine na hapo itakuwa ni menu ingine tofauti
Hivyo ni yako naikumbuka vizuri...kwani imekaa kinyege zaidi.chezea poku Choma nyie?Huyo sio mimi banaa, ni picha tuu. Mbona mie nilishaweka yangu humu, pasi kama kamchoo hehehehee.
Unaruhusu wageni kukutembelea??!Semaa tuu usikikee....
Nakuelewa.... Pozi lako tuu la kusibiria.....
Iko siku ntakudandia nikirukie kwa nyuma..... Hahahahahahhaa lazima wote tuanguke chini hehehehehee
Bro. Unanipa ruksa ya kuanza kumuita Kasie matata wifi?Hapo utataka niharakishe pozi langu kutoka mwendo wa kinyonga hadi digi digi. Usiyaamshe Kasinde Matata. Tukishaanguka tukija kuinuka tunagonga matobolwa na chai ya maziwa. Maisha rahisi kabisa.