Kaomba kuwa baba wa kijacho

Kwa hiyo ndio mmeamua kuja kunitangaza huku jamani. Kweli nimeumbuka mtu mzima just a joke.
Ila uhalisia ni hivi huyo binti asikubali kumhalalisha huyo jamaa kuwa baba kijacho since end of the day italeta conflict na baba halisi. Na atakuwa amejidhalilisha yeye katika familia yenu kwani hyo kesi itawahusisha wazazi pale baba halisi akijitokeza.Na kuhusu huyu bwana kibamia mshauri alepate mlo kamili na aende kupata ushauri wa kisaikolojia ili kupunguza msongo wa mawazo inavyoonekana hajiamini kwa hayo maumbile yake.
 
Mh nimeshindwa hata kutoa ushauri, hii dunia ngum jamani
 
Fiedel Castro, the field Marshal himself nasikia ukimdrop kwenye kilindi kirefu namna gani baharini he wil find his way back bila life jacket... Niko cuba najifunza ku-survive bila life jacket
Bora hata wewe unaejifunza kuliko wanaoilalamikia bahari huku wamesimama kando
 
Haya mambo ya ushikaji sijuwi msela wangu namfanyia mapande ya kumuunganishia eti kwa ndugu zangu mimi nilishakataa ujinga huo na sio swala la kibusara sana,rafiki yako unajua uchafu wake wote jinsi anavyobadirisha wasichana bado unampa connection kwa binamu yako, sasa kama sio kujishushia heshima ni nini,kingine huyo binamu yako anatoa siri za mtu anayempenda maswala ya vibamia mbona binamu yako ananitia mashaka hivyo amezoea mamitambo ama,na ujuwe mwenye mimba ipo siku atacharuka mtaisoma namba sio kama hajali ipo siku atamtaka mwanae damu ni nzito kuliko maji..
 
wanawake huwa hawajielewi nini wanataka. ukifuatilia mambo ya wanawake unaishia kulazwa wodi ya vichaa
Hoja yako haina mashiko eneo hili, huyo dada ameshasema shida ni kibamia. sasa wanawake hawajielewi kwa lipi?
 
eeeeeeeeh ukitaka mwanamke asikupende usimfikisheee ....nakumbuka niliwah tembe........a na mdada nilimmm sana yeye akataka mstakabadh wa mtoto .........na mie mtoto stak ,,,,nika run nikachange linamba
 
Huyo mwanamke asimpe huyo jamaa mtoto ambaye siyo wake... huko mbeleni itakuja kuleta shida..
 
Hoja yako haina mashiko eneo hili, huyo dada ameshasema shida ni kibamia. sasa wanawake hawajielewi kwa lipi?
Huyo Dada yy aendelee na kibamia chake tu kama vp huyo binamu yako ndio atumie Dawa ya kupunguza shimo kibamia kitoshe
 
Binamu asifanye masihara na swala hili hata kidogo, huyo jamaa kashagundua uwezo ni mdogo katika shughuli na possibly hana uwezo wa kutia m2 na kwa mwanaume wa kawaida si rahisi kukubali upuuzi huo, binamu itamgharimu akiolewa naye kwa kuwa baada ya muda mfupi lazima atahitaji unyumba na atakaekua naye hawezi kumtosheleza itabidi achepuke, jamaa akigundua ataua m2 kwa inferiority complex. Suluhisho binamu akubali amekosea na utafute suluhisho la kudumu.
 
Nashukuru kiongozi kwa ushauri huu!
 
Huyo Dada yy aendelee na kibamia chake tu kama vp huyo binamu yako ndio atumie Dawa ya kupunguza shimo kibamia kitoshe
Mh inawezekana kweli,hyo kpunguza umbile?
 
Sawa mkuu,ila kama binadam ukifikwa na jambo shingoni lazima utatafuta usaidizi pia isitoshe binam kaniambia kwakuwa mm n mtu wake wa karibu sn!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…