Kaolewa ila ananitaka nifanyeje?

kula kichwa mwana ila ukikamatwa mm simo

Kama mdada analipa, Nenda kapige mambo wewe,
mme mme nini,atapat mwingine anayempenda so huyo dada acha apate anachopenda bila kufungwa asikoona raha ya maisha,

Kaaazi kweli kweli,HARAMU zote ndio tamu...kama vipi nenda kapige gemu ila legeza mziki ili maneno yake ya kuwa huwezi yatimie ili asikusumbue tena kijana..Ila kama nawewe unataka,sema tu na sio kuomba ushauri wakati majibu tayari unayo..

Ndege wanaofanana huruka pamoja

Kweli Mungu anahitajika katika Ndoa za miaka hii maana ni balaa tupu, uwendawazimu, kufukuzwa kazi, maisha magumu, kuchanganyikiwa na mengineyo yanasababishwa na ndoa chungu kama hizi
 
Kuna mh.mmoja alikatwa mkono kwa mambo haya haya ya kumega wake za watu kuwa makini sana,maana ukidakwa tu umekwisha.
 
............kaka naona unatafuta ushoga kwa nguvu,cheza tu na huyo mke wa mtu ila yatakayokukuta hata kama ni miaka kumi ijayo pia utujuze
 
Mke wa mtu ni sumu mkuu,hebu chukulia mke wako nae baadae akagongwa kwa staili hoyohiyo utajickiaje? What comes around..................... usifanye hivyo kijana mwenzangu tafuta msijana mbichi umzibue mwenyewe mbona wapo wengi ukitulia mkuu?
 
achana na mke wa mtu yatakayokukuta itakuwa simulizi..............swala la kwamba unataka kumwonyesha wewe rijali halina maana ..........kwanini unapenda kuwa na vipoozeo huwezi kuwa na wakwako inaelekea unapenda vipoozeo sana...... badili tabia
 
afu unaweza kuta huyo mdada ni mke wa mwana JF hapa,afu huyo mwana JF bila kujua anakushauri we piga tu dogo Hahaaaaaaaaaaaa...Me nasema hivi we piga kijana (sijaoa infact)
Hahahahaha ........ ningekugongea mkuu! sema vidude vy senks hapa kwangu cvioni.
 
angekuwa ni mkeo anataka kuchakachuliwa ungeomba ushauri?acha bana
 
Bora umechukua uamuzi wa maana!
 

Wanawake wanaovutwa kwa kutumia Castle Lite na Kuku za kuchoma huziona ndoa zao chungu pindi akishaolewa maana vitu hivyo hufutwa kwenye taratibu za maisha badala yake anatakiwa awe na "economic menu" . Matanuzi mengi wakati wa uchumba yanagharamia na "salary loans" kinadada muwe waangalifu kujua uwezo halisi wa wachumba wenu ili msiwe na matarajio yanayozidi uwezo.

Jihadhari na huyo mwanamke anataka kuhamishia bajeti ya saloon na vitafunwa vya saa nne kwako
 
Bro achana nae!! i believe ww ni kijana n una plan nyingi sana in future.. No nid ya kuonyesha ujogoo wako to some1 huz already taken.. N after all remember wat goes around, comes around... Kama ww ukichapiwa mkeo utajickiaje??
 
mtoto akilia wembe mpe.mkunje saba mpaka amtukane mmewe itakua heshima Xana......!!
 
Achana naye kuna wadada wengine ni ovyo wanataka wawaharibie wengine maisha.Mwambie atafute mtu aliyeoa ili wote wawe wanaibana,kama hataridhika mwambie mkaombe ruhusa kwa mmewe.
 

Be careful,..ungekua ndio huyo mwanaume ungefurahi kufanyiwa hivo?,..hata usipo kamatwa ipo siku yatakurudia..Asante.
 
watu humu ndani hawajui hali kama hii ikitokea hasa mtu akiolewa halafu huko kukikosa ladha.....pangeni mipango vizuri
ila hatari ipo ni kwamba atahamishia upendo kwako kwa mumewe atapunguza na ndipo siri zitakapovuja....
kuwa makini mnapokubaliana...ni kweli anakosa pengine anakosa huduma stahiki
 
Jaribu kumwonyesha una busara na unaiheshimu ndoa yake.Kwa sababu kuwa na with wenye hulka km huyo bibie michepuko haitokaa iishe..inaoneka ameingia kwny ndoa sio kama aniheshimu na kuijali,
 

Muogope Mungu kibera,

usiruhusu tamaa za mwili kuendesha maisha yako
 
What goes around comes around. Acha! Mpotezee kiustaarabu na si kwa maneno makali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…