dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,753
- 2,733
Mungu ni mwingi wa huruma na Neema. Hata wale wezi wawili mmoja wapo aliingia mbinguni kwa sababu alitubu dakika chache kabla ya kukata roho.Binaadamu kwa unafki. Eti aende peponi,mara ooh usihukumu. Kama Mwenyezi Mungu aliweza kuuchoma mji wa sodoma na gomora,atawezaje kupindua haki hadi ampeleke mbinguni??
Najua hakuna mkamilifu wala hakuna mwenye haki ya ku hukumu isipokuwa ni yeye tu,lakini huyu kijana na wenzie wenye tabia kama hizi..wachomwe tu na vifuu kibao vya nazi.
Kila siku mnakesha kukemea ushoga,lakini akifa shoga ooh usihukumu..
Unafki on freak
unawachukua ee!??mimi nawachukia !![emoji2] [emoji2]Amebaki jems delicious, nawachukua sana hawa jamaa
Heeee! Nakumbuka alivokuwa anahojiwa na zama Alikuwa anapenda kusema"zama hiyo haipoga...
Mnachukuliana mabwana nn mbona kakuhisi hivyonajiona nini tena mkuu !kwa taarifa yako mie ni pure msukuma sipo hapa kuwakshif wasukuma tunaongelea reality !sasa najiona nn sasa !khaa!wewe ndo wa kwanza kuniambia hilo neno aisee
Anapostahili mkuuSijui nimwelekeze wapi katika kumtakia pumziko!
Kaka maarufu kwa jina la Kaoge ambaye alileta tafrani baada ya kuhojiwa kwenye kipindi cha Take One cha Zamaradi Mketema, na kukiri anajihusisha na vitendo vya jinsia moja amefariki dunia.
Chanzo cha kifo chake inasemekana ni kushindwa kukubaliana na hali aliyokuwa nayo......( mjiongeze )
unawachukua? means we ni mteja wao?Amebaki jems delicious, nawachukua sana hawa jamaa
Hapa ndio nashindwa kuwaelewa baadhi ya wenzetu {wanaume}, hivi mabinti wote waliojaa kweli unakwenda kufukunyua marinda ya men mwenzio na unafurahia kabisa?! Innalillahi wainna ilayhi rajiuun.
hapo sasa yaani ajabu sanaHapa ndio nashindwa kuwaelewa baadhi ya wenzetu {wanaume}, hivi mabinti wote waliojaa kweli unakwenda kufukunyua marinda ya men mwenzio na unafurahia kabisa?! Innalillahi wainna ilayhi rajiuun.
haha kaoge alijua lakn akagoma kula karangaBado yule Nyamvuto sasa..yule sijui akijijua utampanda kichwani.