Kaoa lakini bado anapiga punyeto

mh..................................[/QU
penda kufanya mapenzi na mke wako , acha kabisa kuangalia movie za x,achakupiga punyeto,menda mapenzi ya kwelina achana na mapenzi ya hisia
 

Huu ndio ushauri haswaa, maana kinyume cha haya, na kijana umekula umeshiba........., utajikuta umezama huko katika nyeto! Hatari!
 
Unless ku-masturbate kunasababisha ashindwe kutimiza mahitaji ya ndoa ya mkewe sioni kama kuna tatizo. Kwangu mimi ni afadhali mtu awe masturbator kuliko kuwa fornicator.
 
Prof Kilonzo, mtaalamu wa magonjwa ya akili MNH nanukuu usemi wake "matendo yote yanayohusiana na kujamiiana hakuna tendo ambalo ni self-satisfying kama masturbation"...!
 
mwachen jamaa kwan kavunja sheria ipi ya nchi,
 
Inasikitisha sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kudaaaaadek!!!
Kitu imeshastick kwenye akili hiyo!


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
leo nimejua kwa nini serikali inakataza watu wasivute bangi.
 
Nilidhani strange attractions iko kwa wazungu tu huko, kumbe hata bongo wapo! Wa aina hiyo ni wengi mno ila wazung, ukiangalia hiyo program utakutana na vituko. Iko kwenye channel ya TLC. Mkewe ana kazi.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hivi kwa nini watu wa Mtwara mnaamini kwenye vurugu?

Hivi hapo vurugu zipo wapi? Basis on your recently comments, naona unalipwa hela nyingi sana na unachukia kuona wanamtwara wanailinda kwa nguvu zote gesi ya kule!! Na huenda inakuuma sana kusikia ukombozi huru wa kiuchumi waweza kuanzia Mtwara. Aisee Jipange Bro/Sista
 
We mtoa mada ndo unafuga ugonjwa,tia moto CD ZOTE ZA NGONO anazohifadhi kwako,then tishia kumsemea kwa mkewe,atanyooka tu.

Amsemee nini tena, wakati keshasema mke wake anajua na kuipenda pia.....hizo movie ndo soo,, na aamue kupotezea ataweza....
 
Ukishangaa ya musa ya firauni ndio haya sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…