Kanye na Kim wawasili Uganda, Museven awapa majina ya Kiganda

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
kim.jpg

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewapa majia ya Kiganda nyota maarufu kutoka Marekani Kanye West pamoja na Mpenzi wake Kim Kardashian

> Kanye West amepewa jina la Kanyesigye lenye maana ya Nina amini huku Kim akipewa jina la Kemigisha linalomaanisha 'aliyebarikiwa na Mungu'

> Museveni amewaambia kuwa nchi ya Uganda ni kwaajili ya watu wote duniani na wajisikie wako nyumbani

======

Ugandan President Yoweri Museveni's office says he has given US rapper Kanye West, who changed his name to Ye last month, the Ugandan name Kanyesigye, which means "Ï trust".

Mr Museveni has also given the rapper's wife, Kim Kardashian, the name Kemigisha, which means "the one with blessings from God", his office added in a Facebook post.

The couple were "excited" by the names given to them by the president when he met them at State House earlier today, his office said. Mr Museveni told the couple that Uganda is for all.

“This is the source of human life, even the whites originally came from here,” the president is quoted by his office as saying.

The US rapper said he was happy to be in Uganda, which he described as his second home, according to Mr Museveni's office.
 
No way kemigisha halita fanya kazi kwa kim milele walahi!
NO WAY Walahi
 
Viongozi wa Afrika Sijui hawana kazi za kufanya??
 
yani wamevaa kama wanaenda club,na wasidizi wa rais wamekubali wafike hivo hivo?poor africa
 
Africa majanga kweli, Yani Hivi mpaka ma Malaya (ma bitches) pia ni wageni wa Ikulu duh !!!!!!!!!!!!
 
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewapa majia ya Kiganda nyota maarufu kutoka Marekani Kanye West pamoja na Mpenzi wake Kim Kardashian

> Kanye West amepewa jina la Kanyesigye lenye maana ya Nina amini huku Kim akipewa jina la Kemigisha linalomaanisha 'aliyebarikiwa na Mungu'

> Museveni amewaambia kuwa nchi ya Uganda ni kwaajili ya watu wote duniani na wajisikie wako nyumbani

======

Ugandan President Yoweri Museveni's office says he has given US rapper Kanye West, who changed his name to Ye last month, the Ugandan name Kanyesigye, which means "Ï trust".

Mr Museveni has also given the rapper's wife, Kim Kardashian, the name Kemigisha, which means "the one with blessings from God", his office added in a Facebook post.

The couple were "excited" by the names given to them by the president when he met them at State House earlier today, his office said. Mr Museveni told the couple that Uganda is for all.

“This is the source of human life, even the whites originally came from here,” the president is quoted by his office as saying.

The US rapper said he was happy to be in Uganda, which he described as his second home, according to Mr Museveni's office.
Hili la Kanyesigye mbona ni kama la Kinyakyusa na hili la Kemigisha ni kama la Kihaya. Wakuu nadhani majina yetu yameibwa, tuandamane
 
Back
Top Bottom