Raiya.Isitumike kwa wapinzani bali itumike kwa ajili ya kuwalinda raiya wa Tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu wanajamvi tupeane machache unapokuwa na silaha ya moto ili kuwa salama wewe na wanaokuzunguka bila kuwa na matatizo.
1: Amini muda wote kwamba inaweza kulipuka hata kama umetoa risasi zote.
2: usilenge kitu chochote kama hauna mpango wa kukipiga.
3: usiitoe kwenye ulinzi(lock) kama bado haujataka kupiga.
Ongezea kwa uzoefu wako...........
Itasaidia sana kupata kitoweaNdugu wanajamvi tupeane machache unapokuwa na silaha ya moto ili kuwa salama wewe na wanaokuzunguka bila kuwa na matatizo.