Kanuni za ndoa za kisasa.

Kanuni za ndoa za kisasa.

kinyangesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
247
Reaction score
86
Anaandika mkuu wa kaya! Kinyangesi.
_______________________
Kanuni ya ndoa za sasa:
Mwaka wa kwanza: mume anaongea mke anasikiliza,

Mwaka wa pili: mke anaongea mume anasikiliza,

Mwaka wa tatu: mume anaongea na mke anaongea majirani wanasikiliza,

Mwaka wa nne: mume anaongea, mke anaongea, majirani wanaongea, mahakama inasikiliza. .!
 
Kama ile ya dada yako? Wewe unaongea bado zamu ya mahakama na sherehe.
 
Back
Top Bottom