Said Cosmetics
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 2,007
- 1,600
Ha ha ha mimi mtu huwa akileta ubwege tena kwa makusudi inakuwa imeisha hiyo..Zama zimebadlika saana mkuu wale waaminifu wanapitia magumu kuliko kawaida Mimi siku hizi naanza kwenda na upepo
Uniltee ubwege nikupende Mimi ni yesu?
Kweli aiseNdo ninazoziishi na ninaanza kufanikiwa na kuona matunda yake kidogo kidogo.Japo wakati mwingine maisha ya jino kwa jino huwa yana maana.
HakikaKanuni hai za maisha
-Imani (ya dini au nyinginezo za kidunia)
-Bidii
-Nidhamu ya pesa
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji602]Ha ha ha mimi mtu huwa akileta ubwege tena kwa makusudi inakuwa imeisha hiyo..
Yan mtu anifanyie upumbavu then kirahis rahis tu et anaomba msamaha
Sawa kabisa na unabadilika kulingana na muktadhaFomula ya Maisha niishiyo ni
Kuishi kulingana na Watu,Eneo na Wakati yani niko Flaxible.
Naishi maisha yangu japo watu ni wagumuHakuna kitu kama hicho umeandika hapo juu, watu watakutendea unavyowatendea na si vinginevyo, labda kama hujaanza kuishi maisha yako huwezi elewa.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kwa kweli aiseZama zimebadlika saana mkuu wale waaminifu wanapitia magumu kuliko kawaida Mimi siku hizi naanza kwenda na upepo
Uniltee ubwege nikupende Mimi ni yesu?
Hili la kwenda na upepo nilishaliona mapema nikahamia CCM kabisa na kumpigia kampeni mwendazake na alipoenda sasa hivi nipo timu ya mama tunainua uchumi🤣Zama zimebadlika saana mkuu wale waaminifu wanapitia magumu kuliko kawaida Mimi siku hizi naanza kwenda na upepo
Uniltee ubwege nikupende Mimi ni yesu?
Life give you what you give. This is the prime route to existenceHa ha ha mimi mtu huwa akileta ubwege tena kwa makusudi inakuwa imeisha hiyo..
Yan mtu anifanyie upumbavu then kirahis rahis tu et anaomba msamaha
Kweli mkuu aiseNamba 4 watu wengi wanashindwa kuizingatia na kusababisha mifarakano isiyo na maana..
Watu huwa wanasahau kwamba shida/matatizo ni kama matako.. Kila mtu anayo.
Kweli mkuuKanuni hai za maisha
-Imani (ya dini au nyinginezo za kidunia)
-Bidii
-Nidhamu ya pesa
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app