1.Ni bora Mara elfu uamini mungu yupo kuliko kutoamini maana usipoamini siku moja unaweza kukutana nae ukalia na kusaga meno
2.usihuzunike sana kwa aliyekuacha maana amechoka kujifanyisha
3.uchumba unaovunjika ni bora zaidi kuliko ndoa isiyo na amani
4.mpenzi anayechepuka ataendelea kuchepuka hata baada ya ndoa.ukimfumania mpenzi wako ujue ataendelea na tabia hyo hata baada ya kufunga ndoa
5.usimwamini mtu yoyote kwa sana maana kufanya hvyo inaweza kukuumiza sana
Ni ukumbusho tu wa kanuni muhimu za maisha na wewe unaweza kuongeza za kwako ili kuifanya dunia iwe sehemu salama ya kuishi