Kanuna kama kawaida ya wanawake

Ukiona Dem kaanza hzo harakati ujue hakupendi hata kdgo.
Jarbu kusoma alama za nyakati.
Mi mwanamke akinuna kitu kidogo siwezi mbembeleza....
 
Umeambiwa usimwagie ndan, ukakaidi na kumwagia. Haya ukazitoe ndo awe normal
 
Ashajua we hupindui so akijinunisha tunakuwa nae rum sisi na sisi tukiona katubana tunamkera ananuna anarudi kwako.

So kuwa mpole tumalizane nae kwanza atapoa tu [emoji41]
 
Mnyamazie kwanza akikutafta basi mapenzi yapo Ila akikausha na yeye mwendo umeumaliza ndugu
 
Weka Namba zake Vidume tumshauri kuwa anachofanya sio Kitu kizuri.
 
Pambana mkuu hapa nilipo nimeshamnunia bebeeee wangu toka trh 10 kila siku nakuta sms kuanzia 67 afu sijibu hata moja
 
inasikitisha Sana kwa kweli,mmezoeshana vibaya Sana...
 
Pambana mkuu hapa nilipo nimeshamnunia bebeeee wangu toka trh 10 kila siku nakuta sms kuanzia 67 afu sijibu hata moja
Uwe tayari kwa maamuzi atayochukua akishasema inatosha
Usije humu kulia lia kuomba ushauri jinsi ya kumrudisha

Gwaride likigeuka utataga.
 
Mnyamazie kwanza akikutafta basi mapenzi yapo Ila akikausha na yeye mwendo umeumaliza ndugu
Anatikisa mwanaume. Nimejifanya mjinga. Ngoja nibembeleze nipige mara ya mwisho ataona moto.
 
Wapi wenzangu wa kununa nuna!!!??? Nawasalimu katika jina la jf[emoji1672][emoji1672][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usijali.

Hakupi ushirikiano Kwa sasa Kwa sababu maalum.

Akishamalizana na mwenzako atakutafuta mwenyewe kabisa.

Wala usihofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…