Mtanzania haswa JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 663 Reaction score 101 Dec 11, 2011 #1 Hawa star times vp? kumvalisha star wa movie jezi za AC Milan wakati tuna wachezaji halisi wa mpira wa miguu hapa bongo maana yake nini? je ni kudharau wachezaji wetu ama?
Hawa star times vp? kumvalisha star wa movie jezi za AC Milan wakati tuna wachezaji halisi wa mpira wa miguu hapa bongo maana yake nini? je ni kudharau wachezaji wetu ama?