Kanisani

moja ya vitu ambavyo nilikuwa nakanywa sana nikiwa mtoto wakati wa kutoka shule ya jumapili,
1. usile sadaka hata kidogo,
2. usimdharau mtumishi yeyote wa kanisani kuanzia mchungaji, mpaka mlinzi au mpika chai,( maana mwalimu wa sunday school alikuwa ni mchoma sindano kwa mifugo yetu).
3. usitanie au kudhiaki maneno ya Mungu ( iwe ya dini nyingine au unayoijua wewe kama bibilia)
4. usicheke jengo au eneo la watu wanapoabudia/kusali..
Ushauri wangu kwako ni huu Mungu hadhiakiwi..
 
Mkuu hiyo ni hali halisi ya Makanisa mengi ya kipentekoste au walokole....Haya makanisa wengi ni wachumia tumbo ambao wamatumia shida za watu kujitajirisha...
 
Kila mmoja atatoa habari zake mbele ya kiti cha Enzi
 
Mkuu hiyo ni hali halisi ya Makanisa mengi ya kipentekoste au walokole....Haya makanisa wengi ni wachumia tumbo ambao wamatumia shida za watu kujitajirisha...
yan hata kama ni kweli mie kama nimeathirika na zile morals za utotoni, ngoja nkupe mfano mkuu kuna jamaa nilsoma naye primary baada ya miaka mitatu nkaonana naye mtu wa dili sana, nikiwa chuo tulikutana akaniambia mambo magumu naenda kongo nkirudi ntakuwa na kanisa.. Mungu anisamehe kwa kumsema, nkamsikia kwenye redio za dini mtume (xxx) na kanisa alifungua maeneo ya kimara temboni.. yan nkasema ntabakia na tenzi za rohoni na bible tu mpaka kieleweke..
 
ila hiyo Ndonga ya mkuu wa Maombi hatari tupu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…