masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,891
- 15,112
Asante kwa masahihishoAsante kwa maonyo. Ila kumbuka ulivyosema "Tukumbuke kuwa katika kipindi hiki cha kuelekea majilio...", tunaelekea kipindi cha Pasaka. Majilio huwa ni maandalizi ya Kuzaliwa kwa Bwana Yesu.
Watu Wanafanya Kazi Ya Mungu Kwa Mazoea, Ndio Maana Tumefka Hapa Tulipo. lakini pia kunahaja ya kumsihi mungu atusaidie kwa hili.
m nalikuwaga pale uhuru morovian enzi hizo kabla sijaenda pentekoste.na nina ndugu na jamaa hadi leo wapo morovian
kinachosababisha haya yote ni nyiny waumini wenyewe mkuwa kondoo sana kwa haya makundi mawili.kwanin msiungane na kuzpinga pande hizi mbili kwa umoja
kwa muda mrefu sasa Kanisa La Moravian Tanzania (KMT), limekuwa katika mgogoro usioisha.
Kiini cha mgogoro huu ni ugomvi wa madaraka na mapato ndani ya kanisa hili kongwe.
Kanisa la Moravian asili yake ni Nyanda za Juu Kusini ambako lili chanua na kusambaa hadi Mikoa ya Tabora na hata sehemu za Katvi , Iringa na hata Mpanda.
Kinachotusikitisha waumini wa kanisa hili ni huu ugomvi ambao kiini chake ni fedha.
Tukumbuke kuwa katika kipindi hiki cha kuelekea Pasaka,kipindi alichosulubiwa Mwokozi wetu Yesu Kristo,
ni fedha vile vile zilizo msaliti Bwana Yesu.
Hili somo nafikiri halijatua vema kwa wachungaji wetu ndani ya kanisa hili kongwe, fedha , asili ya tamaa ya kimwili ndio inalisambaratisha kanisa hili.
Pamoja na tamaa za fedha, kitu kinachojitokeza ni uvivu wa wote wanaohusika.
Mtu, uwe mchungaji au m-deacon, kama unslaumiwa kwa ajili ya tamaa zako ni heri tu kujiuzuru ili kanisa lisonge mbele kwa amani.
Lakini kwa sababu ya uvivu na tamaa sijasikia yeyote amejiuzuru,
Tukumbuke kuwa kujiuzuru ni kujitolea kwa kiwango cha chini kabisa ukilinganisha na Bwana wetu Yesu Kristo alivyotoa uhai wake kwa ajili ya dhambi zetu.
Kwa haya yanyoendelea katika Kanisa La Moravian Tanzania, waumini tusali sana ili virusi vya mwovu shetani viweze kudhibitiwa na Roho Mtakatifu.
cc Bujibuji , Baba V
maspakyindi, hili kanisa sasa limekuwa kama nyumba ya shetani. Kila uchao ni ugomvi tu hamna kingine. Nakumbuka ugomvi mkubwa sana kati ya Mwamlima na Msinjili. Ugomvi huu ulidumu kwa miaka mingi hadi pale Augustino Lyatonga Mrema alipoingilia kati na kufanya maamuzi ya kibabe kumuondoa Mwamlima. Baada ya pale magomvi yakapungua ila sasa naona yamerudi mahala pake
Ni keli mkuu Kanisa hili limeingiliwa na wachungaji, maaskofu, watumishi wapenda pesa kama msngi wa wao kukaa madarakani.kwa muda mrefu sasa Kanisa La Moravian Tanzania (KMT), limekuwa katika mgogoro usioisha.
Kiini cha mgogoro huu ni ugomvi wa madaraka na mapato ndani ya kanisa hili kongwe.
Kanisa la Moravian asili yake ni Nyanda za Juu Kusini ambako lili chanua na kusambaa hadi Mikoa ya Tabora na hata sehemu za Katvi , Iringa na hata Mpanda.
Kinachotusikitisha waumini wa kanisa hili ni huu ugomvi ambao kiini chake ni fedha.
Tukumbuke kuwa katika kipindi hiki cha kuelekea Pasaka,kipindi alichosulubiwa Mwokozi wetu Yesu Kristo,
ni fedha vile vile zilizo msaliti Bwana Yesu.
Hili somo nafikiri halijatua vema kwa wachungaji wetu ndani ya kanisa hili kongwe, fedha , asili ya tamaa ya kimwili ndio inalisambaratisha kanisa hili.
Pamoja na tamaa za fedha, kitu kinachojitokeza ni uvivu wa wote wanaohusika.
Mtu, uwe mchungaji au m-deacon, kama unslaumiwa kwa ajili ya tamaa zako ni heri tu kujiuzuru ili kanisa lisonge mbele kwa amani.
Lakini kwa sababu ya uvivu na tamaa sijasikia yeyote amejiuzuru,
Tukumbuke kuwa kujiuzuru ni kujitolea kwa kiwango cha chini kabisa ukilinganisha na Bwana wetu Yesu Kristo alivyotoa uhai wake kwa ajili ya dhambi zetu.
Kwa haya yanyoendelea katika Kanisa La Moravian Tanzania, waumini tusali sana ili virusi vya mwovu shetani viweze kudhibitiwa na Roho Mtakatifu.
cc Bujibuji , Baba V
Ni keli mkuu Kanisa hili limeingiliwa na wachungaji, maaskofu, watumishi wapenda pesa kama msngi wa wao kukaa madarakani.
Wengi wao hawana wito wa kumtumikia Mungu na ndio maana wamekamatwa kirahisi na yule mwovu.
Si wazo baya ingawaje kanisa Katoliki wanaishi zaidi kwa Canon Law.Hamia katoliko ufaidike
Tatizo liko kwetu waumin na kanisa linako elekea ni mgawanyiko wa sehemu mbili.
Kyala tutuleghe