Kanisa la Mito ya Baraka lililopo Kariakoo kubomolewa

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Screenshot%2B-%2B12_30_2015%2B%252C%2B10_23_17%2BAM.png
 
Haaa haaa hili kanisa ni kasri la Nabii & Mtumee gani tena jamani usikute ni Gwajima au Mzee wa Upako.
 
He!!!!!!! jamani MUNGU wangu!!!!! mleta maada hebu tujulishe ni kanisa gani, (denomination?), je na liko dar maeneo gani? au mikoa mingine?
 
Naona limeandikwa Mito ya Baraka!!!....ni kule anakoabudu Masanja mkandamizaji???
He!!!!!!! jamani MUNGU wangu!!!!! mleta maada hebu tujulishe ni kanisa gani, (denomination?), je na liko dar maeneo gani? au mikoa mingine?
Haaa haaa hili kanisa ni kasri la Nabii & Mtumee gani tena jamani usikute ni Gwajima au Mzee wa Upako.
Hili ni kanisa chini ya dhehebu la EAGT (Enzi hizo Mosses Kulola akiwa ndo Askofu Mkuu hapa nimefafanua ili mlijue dhehebu hili kama mlikuwa hamlijui)
Kanisa hili Lipo pale Jangwani chini ya Askofu Bruno Mwakibolwa.

Yes Masanja mkandamizaji anasali pale,pia wapo waimbaji wengi tu wanaosali pale.
 
hili kanisa lipo jangwani...dah kweli hili tingatinga...sitashangaa kuona shule nazo zikibomolewa...kama nyumba za ibada zinabomolewa!
Aiseee !!! Duhh acha kabisa, kama ni hivyo basi hata wanajangwani Club ya Yanga nao wanatakiwa wabomolewe.
 
Aiseee !!! Duhh acha kabisa, kama ni hivyo basi hata wanajangwani Club ya Yanga nao wanatakiwa wabomolewe.
Naona Yanga nao bomoa bomoa inawapitia Tanzania Daima imeripot.....
 

Attachments

  • 1451473531365.jpg
    1451473531365.jpg
    32.4 KB · Views: 173
Mtujuze mnaofahamu sababu ya kubomolewa kwa jengo hilo.Kanisa la EAGT-MITO YA BARAKA ni miongoni mwa makanisa makubwa yenye watu wengi hapo Dar(Mega Church)
 
Nafikiri watakuwa hawajasaidia chochote,kimsingi hakuna binadamu anaye weza kulivunja/kulibomoa kanisa la Mungu,nafikiri mtoa mada angesema Jengo la mito ya baraka kubomolewa,kanisa ni miili ya wanadamu ndio nyumba ya Mungu,au kusanyiko la watu wa Mungu,walio kusanyika kumwabudu Mungu katika roho na kweli haijalishi wako wapi,hata chini ya mti,hapo wanajisumbua Mana yeye atakae liharibu hekalu LA Mungu nae ataharibiwa 1Wakorintho 3;16-17 na Yesu alisema atalijenga kanisa lake wala milango ya kuzimu haita lishinda Mathayo 16;18 hakusema jengo lililojengwa kwa mikono ya wanadamu,wakibomoa hapo litajengwa kwingine na Mungu atatukuzwa.
 
Back
Top Bottom