Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Dec 31, 2024 Thread starter #21 OKW BOBAN SUNZU said: Mia bili kwa mkate, mandazi ni mia. Na hakuna chenji Click to expand... Means ukitoa hela kubwa harudishi chenji imeenda iyo
OKW BOBAN SUNZU said: Mia bili kwa mkate, mandazi ni mia. Na hakuna chenji Click to expand... Means ukitoa hela kubwa harudishi chenji imeenda iyo
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 27,016 Reaction score 41,659 Dec 31, 2024 #22 The Icebreaker said: Tapeli kivipi Mkuu wakati watu wananunua Mikate? Si bora huyu anauza mikate kuliko wale wengine wanaowauzia wenzao Udongo. Click to expand... udongo wa pemba au?
The Icebreaker said: Tapeli kivipi Mkuu wakati watu wananunua Mikate? Si bora huyu anauza mikate kuliko wale wengine wanaowauzia wenzao Udongo. Click to expand... udongo wa pemba au?
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 27,016 Reaction score 41,659 Dec 31, 2024 #23 Wakati mwingine huwa naogopa na kudhani kanisa lilishanyakuliwa halipo duniani tena imebaki giza tu watu wanajieendea hovyo kwa mambo yao. Mara chupi za upako, mara keki na sasa mikate. Injili feki zimekuwa nyingi mpaka inaogofya
Wakati mwingine huwa naogopa na kudhani kanisa lilishanyakuliwa halipo duniani tena imebaki giza tu watu wanajieendea hovyo kwa mambo yao. Mara chupi za upako, mara keki na sasa mikate. Injili feki zimekuwa nyingi mpaka inaogofya
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 21,651 Reaction score 43,037 Dec 31, 2024 #24 The Icebreaker said: Tapeli kivipi Mkuu wakati watu wananunua Mikate? Si bora huyu anauza mikate kuliko wale wengine wanaowauzia wenzao Udongo. Click to expand... Ila kweli yaani watu wako timamu kabisa wananunua udongo...ajabu sana.
The Icebreaker said: Tapeli kivipi Mkuu wakati watu wananunua Mikate? Si bora huyu anauza mikate kuliko wale wengine wanaowauzia wenzao Udongo. Click to expand... Ila kweli yaani watu wako timamu kabisa wananunua udongo...ajabu sana.
PakiJinja JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 11,707 Reaction score 25,990 Dec 31, 2024 #25 Mwachiluwi said: Mchungaji kenya kaazisha biashara ndani ya kanisa na waumini wana nunua bidhaa hii ni ajabu af jirani ana jisufi yupo na akili mingi kwq hili hapana Click to expand... Iwe Tanzania au Kenya, Wakristo wake ni kama wana CCM tu
Mwachiluwi said: Mchungaji kenya kaazisha biashara ndani ya kanisa na waumini wana nunua bidhaa hii ni ajabu af jirani ana jisufi yupo na akili mingi kwq hili hapana Click to expand... Iwe Tanzania au Kenya, Wakristo wake ni kama wana CCM tu
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Dec 31, 2024 Thread starter #26 PakiJinja said: Iwe Tanzania au Kenya, Wakristo wake ni kama wana CCM tu Click to expand... Sio wote wachache wenye imani haba
PakiJinja said: Iwe Tanzania au Kenya, Wakristo wake ni kama wana CCM tu Click to expand... Sio wote wachache wenye imani haba
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 27,016 Reaction score 41,659 Dec 31, 2024 #27 PakiJinja said: Iwe Tanzania au Kenya, Wakristo wake ni kama wana CCM tu Click to expand... kivipi? Mbona CCM iko freshi tu na kazi inaendelea
PakiJinja said: Iwe Tanzania au Kenya, Wakristo wake ni kama wana CCM tu Click to expand... kivipi? Mbona CCM iko freshi tu na kazi inaendelea
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,022 Reaction score 104,627 Dec 31, 2024 #28 ***** walai, na anawaambia hakuna chenji 🤣 Halafu kuna cheko moja la dharau kalitoa 😂🤣
Ibn Unuq JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 5,352 Reaction score 9,778 Dec 31, 2024 #29 Wako sahihi kwa 100% sababu dini ni Biashara, Wengi hawajalijua hili.
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Dec 31, 2024 Thread starter #30 makaveli10 said: ***** walai, na anawaambia hakuna chenji 🤣 Halafu kuna cheko moja la dharau kalitoa 😂🤣 Click to expand... Kumbe na wewe umeona? Ahahah
makaveli10 said: ***** walai, na anawaambia hakuna chenji 🤣 Halafu kuna cheko moja la dharau kalitoa 😂🤣 Click to expand... Kumbe na wewe umeona? Ahahah
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Dec 31, 2024 Thread starter #31 Ibn Unuq said: Wako sahihi kwa 100% sababu dini ni Biashara, Wengi hawajalijua hili. Click to expand... Au sio
Ibn Unuq said: Wako sahihi kwa 100% sababu dini ni Biashara, Wengi hawajalijua hili. Click to expand... Au sio
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,022 Reaction score 104,627 Dec 31, 2024 #32 Mwachiluwi said: Kumbe na wewe umeona? Ahahah Click to expand... Kawachukulia ni maboya kupitiliza😂🤣
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Dec 31, 2024 Thread starter #33 makaveli10 said: Kawachukulia ni maboya kupitiliza😂🤣 Click to expand... Hii mbaya sana ukionaga clip zake unaweza sema hawa waumini wamelogwa?
makaveli10 said: Kawachukulia ni maboya kupitiliza😂🤣 Click to expand... Hii mbaya sana ukionaga clip zake unaweza sema hawa waumini wamelogwa?
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,022 Reaction score 104,627 Dec 31, 2024 #34 Mwachiluwi said: Hii mbaya sana ukionaga clip zake unaweza sema hawa waumini wamelogwa? Click to expand... Watu wengi wana matatizo ya akili bila kujijua. Hawa wote ni kwamba **** nati kichwani zimelegea
Mwachiluwi said: Hii mbaya sana ukionaga clip zake unaweza sema hawa waumini wamelogwa? Click to expand... Watu wengi wana matatizo ya akili bila kujijua. Hawa wote ni kwamba **** nati kichwani zimelegea
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Dec 31, 2024 Thread starter #35 makaveli10 said: Watu wengi wana matatizo ya akili bila kujijua. Hawa wote ni kwamba **** nati kichwani zimelegea Click to expand... Ila kenya wametuzidi ni stupid kupitiliza
makaveli10 said: Watu wengi wana matatizo ya akili bila kujijua. Hawa wote ni kwamba **** nati kichwani zimelegea Click to expand... Ila kenya wametuzidi ni stupid kupitiliza
Mtali JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 3,959 Reaction score 3,336 Dec 31, 2024 #36 Chenchi hakuna..... 🤣
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Dec 31, 2024 Thread starter #37 Mtali said: Chenchi hakuna..... 🤣 Click to expand... Hapo ndio ulitaka ufanyie nauli ya back home
Mrs Byesige JF-Expert Member Joined Nov 5, 2019 Posts 2,027 Reaction score 3,942 Dec 31, 2024 #38 OKW BOBAN SUNZU said: Ila udongo hata mimi niliwahi kununua eti nikaweke shamba. Sijui niliingiliwa na nini pumbavu mie Click to expand... Khaaa 😆😆😆🙌..kumbe machizi wa Mwampy wamo humu humu
OKW BOBAN SUNZU said: Ila udongo hata mimi niliwahi kununua eti nikaweke shamba. Sijui niliingiliwa na nini pumbavu mie Click to expand... Khaaa 😆😆😆🙌..kumbe machizi wa Mwampy wamo humu humu
M Mnafiki Wa Kujitegemea JF-Expert Member Joined Dec 30, 2022 Posts 4,685 Reaction score 7,700 Dec 31, 2024 #39 Mwachiluwi said: Mchungaji kenya kaazisha biashara ndani ya kanisa na waumini wana nunua bidhaa hii ni ajabu af jirani ana jisufi yupo na akili mingi kwq hili hapana Click to expand... Manabii na mitume wa Tanganyika hujaona biashara wanayofanya mkuu mpaka ukachukue mifano Kenya?
Mwachiluwi said: Mchungaji kenya kaazisha biashara ndani ya kanisa na waumini wana nunua bidhaa hii ni ajabu af jirani ana jisufi yupo na akili mingi kwq hili hapana Click to expand... Manabii na mitume wa Tanganyika hujaona biashara wanayofanya mkuu mpaka ukachukue mifano Kenya?
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 7,842 Reaction score 25,760 Dec 31, 2024 #40 Mwachiluwi said: Kuna siku ana watukana kabisa na wanacheka Click to expand... Huyu siye yule somebody Nganga?
Mwachiluwi said: Kuna siku ana watukana kabisa na wanacheka Click to expand... Huyu siye yule somebody Nganga?