Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,488 Reaction score 65,832 Dec 31, 2024 #1 Mchungaji kenya kaazisha biashara ndani ya kanisa na waumini wana nunua bidhaa hii ni ajabu af jirani ana jisufi yupo na akili mingi kwq hili hapana Attachments c975773375cd8d06e317bcef17c0450a.mp4 2.5 MB e0048c3ab4d1a7dae5cde1b4899f9619.mp4 7 MB
Mchungaji kenya kaazisha biashara ndani ya kanisa na waumini wana nunua bidhaa hii ni ajabu af jirani ana jisufi yupo na akili mingi kwq hili hapana
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 21,608 Reaction score 42,960 Dec 31, 2024 #2 Hana tofauti na wale wanaouza udongo, maji, vitambaa n.k. kote ni biashara tu. Tofauti ni jinsi wanavyoifanya biashara yenyewe
Hana tofauti na wale wanaouza udongo, maji, vitambaa n.k. kote ni biashara tu. Tofauti ni jinsi wanavyoifanya biashara yenyewe
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,001 Reaction score 134,194 Dec 31, 2024 #3 Halafu jamaa linacheka
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,488 Reaction score 65,832 Dec 31, 2024 Thread starter #4 Kinyungu said: Hana tofauti na wale wanauza udongo, maji, vitambaa n.k. kote ni biashara tu. Tofauti ni jinsi wanavyoifanya biashara yenyewe Click to expand... Kaniacha hoi anaposema hana chenji
Kinyungu said: Hana tofauti na wale wanauza udongo, maji, vitambaa n.k. kote ni biashara tu. Tofauti ni jinsi wanavyoifanya biashara yenyewe Click to expand... Kaniacha hoi anaposema hana chenji
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,488 Reaction score 65,832 Dec 31, 2024 Thread starter #5 OKW BOBAN SUNZU said: Halafu jamaa linacheka Click to expand... Kwanini asifurahi wakati pesa anaiona
OKW BOBAN SUNZU said: Halafu jamaa linacheka Click to expand... Kwanini asifurahi wakati pesa anaiona
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 21,608 Reaction score 42,960 Dec 31, 2024 #6 Mwachiluwi said: Kaniacha hoi anaposema hana chenji Click to expand... Jamaa tapeli kabisa na anawacheka
Mwachiluwi said: Kaniacha hoi anaposema hana chenji Click to expand... Jamaa tapeli kabisa na anawacheka
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,212 Reaction score 103,108 Dec 31, 2024 #7 Biashara ikienda vizuri ataweka na bango kabisa nje ya Kanisa, Church Bakery.
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,488 Reaction score 65,832 Dec 31, 2024 Thread starter #8 Kinyungu said: Jamaa tapeli kabisa na anawacheka Click to expand... Kuna siku ana watukana kabisa na wanacheka
Kinyungu said: Jamaa tapeli kabisa na anawacheka Click to expand... Kuna siku ana watukana kabisa na wanacheka
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,212 Reaction score 103,108 Dec 31, 2024 #9 Kinyungu said: Jamaa tapeli kabisa na anawacheka Click to expand... Tapeli kivipi Mkuu wakati watu wananunua Mikate? Si bora huyu anauza mikate kuliko wale wengine wanaowauzia wenzao Udongo.
Kinyungu said: Jamaa tapeli kabisa na anawacheka Click to expand... Tapeli kivipi Mkuu wakati watu wananunua Mikate? Si bora huyu anauza mikate kuliko wale wengine wanaowauzia wenzao Udongo.
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,488 Reaction score 65,832 Dec 31, 2024 Thread starter #10 The Icebreaker said: Biashara ikienda vizuri ataweka na bango kabisa nje ya Kanisa, Church Bakery. Click to expand... Acha kabisa tena anataka cash ukienda na pesa kubwa ana sema hana chenji
The Icebreaker said: Biashara ikienda vizuri ataweka na bango kabisa nje ya Kanisa, Church Bakery. Click to expand... Acha kabisa tena anataka cash ukienda na pesa kubwa ana sema hana chenji
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,488 Reaction score 65,832 Dec 31, 2024 Thread starter #11 The Icebreaker said: Tapeli kivipi Mkuu wakati watu wananunua Mikate? Si bora huyu anauza mikate kuliko wanaowauzia wenzao Udongo. Click to expand... Na mafuta
The Icebreaker said: Tapeli kivipi Mkuu wakati watu wananunua Mikate? Si bora huyu anauza mikate kuliko wanaowauzia wenzao Udongo. Click to expand... Na mafuta
Dialogist JF-Expert Member Joined Apr 14, 2014 Posts 1,512 Reaction score 2,492 Dec 31, 2024 #12 Mwachiluwi said: Mchungaji kenya kaazisha biashara ndani ya kanisa na waumini wana nunua bidhaa hii ni ajabu af jirani ana jisufi yupo na akili mingi kwq hili hapana Click to expand... Ngoja nikanunue vitunguu... ..Ni Hayo Tu!
Mwachiluwi said: Mchungaji kenya kaazisha biashara ndani ya kanisa na waumini wana nunua bidhaa hii ni ajabu af jirani ana jisufi yupo na akili mingi kwq hili hapana Click to expand... Ngoja nikanunue vitunguu... ..Ni Hayo Tu!
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,488 Reaction score 65,832 Dec 31, 2024 Thread starter #13 Dialogist said: Ngoja nikanunue vitunguu... ..Ni Hayo Tu! Click to expand... Sizani kama anavyo
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,001 Reaction score 134,194 Dec 31, 2024 #14 The Icebreaker said: Tapeli kivipi Mkuu wakati watu wananunua Mikate? Si bora huyu anauza mikate kuliko wale wengine wanaowauzia wenzao Udongo. Click to expand... Ila udongo hata mimi niliwahi kununua eti nikaweke shamba. Sijui niliingiliwa na nini pumbavu mie
The Icebreaker said: Tapeli kivipi Mkuu wakati watu wananunua Mikate? Si bora huyu anauza mikate kuliko wale wengine wanaowauzia wenzao Udongo. Click to expand... Ila udongo hata mimi niliwahi kununua eti nikaweke shamba. Sijui niliingiliwa na nini pumbavu mie
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,402 Dec 31, 2024 #15 Yuko sawa kama ni charity na hela zote zinazopatikana zinakwenda kusaidia wenye uhitaji mf. mayatima. Kama hela ni zake ni wazi atakuwa amekengeuka. Kwa sasa sitamhukumu maana inaweza kuwa ni charity kanisa limeamua kufanya.
Yuko sawa kama ni charity na hela zote zinazopatikana zinakwenda kusaidia wenye uhitaji mf. mayatima. Kama hela ni zake ni wazi atakuwa amekengeuka. Kwa sasa sitamhukumu maana inaweza kuwa ni charity kanisa limeamua kufanya.
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,402 Dec 31, 2024 #16 OKW BOBAN SUNZU said: Ila udongo hata mimi niliwahi kununua eti nikaweke shamba. Sijui niliingiliwa na nini pumbavu mie Click to expand... Mhasibu unatuangusha sasa wafuasi wako dah! 😁
OKW BOBAN SUNZU said: Ila udongo hata mimi niliwahi kununua eti nikaweke shamba. Sijui niliingiliwa na nini pumbavu mie Click to expand... Mhasibu unatuangusha sasa wafuasi wako dah! 😁
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,488 Reaction score 65,832 Dec 31, 2024 Thread starter #17 OKW BOBAN SUNZU said: Ila udongo hata mimi niliwahi kununua eti nikaweke shamba. Sijui niliingiliwa na nini pumbavu mie Click to expand... Ahahah angalia nyingine juu nimeweka ana kwambia na hamjatoa sadaka
OKW BOBAN SUNZU said: Ila udongo hata mimi niliwahi kununua eti nikaweke shamba. Sijui niliingiliwa na nini pumbavu mie Click to expand... Ahahah angalia nyingine juu nimeweka ana kwambia na hamjatoa sadaka
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,488 Reaction score 65,832 Dec 31, 2024 Thread starter #18 Shimba ya Buyenze said: Yuko sawa kama ni charity na hela zote zinazopatikana zinakwenda kusaidia wenye uhitaji mf. mayatima. Kama hela ni zake ni wazi atakuwa amekengeuka. Kwa sasa sitamhukumu maana inaweza kuwa ni charity kanisa limeamua kufanya. Click to expand... Uja mfwatilia vizuri huyu ni comedy ibada ni kunanga watu
Shimba ya Buyenze said: Yuko sawa kama ni charity na hela zote zinazopatikana zinakwenda kusaidia wenye uhitaji mf. mayatima. Kama hela ni zake ni wazi atakuwa amekengeuka. Kwa sasa sitamhukumu maana inaweza kuwa ni charity kanisa limeamua kufanya. Click to expand... Uja mfwatilia vizuri huyu ni comedy ibada ni kunanga watu
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,001 Reaction score 134,194 Dec 31, 2024 #19 Shimba ya Buyenze said: Mhasibu unatuangusha sasa wafuasi wako dah! 😁 Click to expand... Na asubuhi yake niliona kabisa tipa likishusha udongo pale uwanjani ☹️☹️
Shimba ya Buyenze said: Mhasibu unatuangusha sasa wafuasi wako dah! 😁 Click to expand... Na asubuhi yake niliona kabisa tipa likishusha udongo pale uwanjani ☹️☹️
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,001 Reaction score 134,194 Dec 31, 2024 #20 Mwachiluwi said: Ahahah angalia nyingine juu nimeweka ana kwambia na hamjatoa sadaka Click to expand... Mia bili kwa mkate, mandazi ni mia. Na hakuna chenji
Mwachiluwi said: Ahahah angalia nyingine juu nimeweka ana kwambia na hamjatoa sadaka Click to expand... Mia bili kwa mkate, mandazi ni mia. Na hakuna chenji