Rais2020
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 3,248
- 5,537
Duniani kote, wapagani ni waelewa sana kuliko wafia dini. Wafia dini wengi wao ni mbumbumbu maana kila wakiambiwa jambo na mchungaji wao basi hufanya bila kupinga. Moja ya mambo hayo ni pamoja na kuamrishwa either kutoa pesa/sadaka kubwa beyond their capacities na mengine mengi. Katika hali ya kustaajibisha waumini wa kanisa hili hubatizwa sio kwa maji Bali kwa viboko. Yaani badala ya kumwagiwa maji unatwishwa bonge la kiboko. Jionee mwenyewe kwenye video hapo chini.
Mengine haya hapa. Mchungaji awataka waumini wavue nguo kisha wajichue ili wapokee baraka.
AFRIKA KUSINI : Nabii awanywesha waumini kemikali ya kusafishia injini, adai inaponya.
Mchungaji awanywesha waumini dawa ya kuua bacteria(dettol)
ZIMBABWE: Nabii awauzia waumini matango, adai yana upako
Ukipitia hizi thread utagundua kuwa wafia dini ni wajinga kuliko wapagani. Mpagani hawezi kufanya huu upuuzi. Wengi wa wafia dini ni wasomi na wenye pesa zao na wachache wasio na pesa za kutosha. Angalia magari yanavojazana maeneo ya makanisa siku za ibada.
Waumini na wafia dini mbadilike. Wenzen wanatajirika nyinyi mnaishiwa hata kile kidogo mlicho nacho.