Heshima kwenu wadau wa JF;
Naomba kuanza kwa kusema hakuna biashara isiyokuwa na wateja duniani, Haipo!, Biashara zote zinawateja wake hata kama utaamua kuuza maganda ya ndizi yatanunuliwa tu…….Tumia fursa
Mfano huo ulivyo Imenidhihilishia hata katika IMANI ZETU huwezi kuamini kwamba, kila Imani haikosi waumini hata kama ukianzisha kanisa la kusali miguu juu kichwa chini watakuja tu kama kondoo;
Kuna kanisa moja jiji dar- kigamboni 6.2km kusini-mashariki kutoka stand ya daladala kigamboni, limeanzishwa siku chache ambapo husali uchi wa mnyama peeh, kanisa hili viongozi wake ni pamoja na Yule jamaa aliyekuwa akinadi kuwa HOUSE GIRL/Shemeji/secretary wako au mjakazi wako wa kike ni halali kumtafna.
Kanisa hilo lililoibuka upya ambapo kwa taarifa za kiinteligensia nilizopata leo ni ibaada ya nne naya mwisho kwa kigamboni, Ibaada zao huanza saa 6 usiku napengine hukesha kabisa na wakiwa wamezima taa, mmoja wa waumini aliye kuwa akinishawishi nije ibadani leo ili nione miujiza, kaniambia wanasali wakiwa uchi kwakuwa nguo nyingi ni mitumba ambapo zina unajisi huko zilikotoka na hata viwanda vingi huzitengeneza kwa nguvu za giza ili ziuzike haraka,
kaongeza kuwa tunafanya hivo kwakuwa kwanza tulizaliwa bila nguo,adam na eva walipata neema kipindi walipo kuwa uchi ,MUUMINI huyu kanipa ubuyu mwingi ila kasisitiza isitoshe nguo zinakuwa zimepita kwingi hazifai kabisa kuomba ukiwa nazo PIA wanafanya kama ilivyo kwa imani zingine wavuapo viatu na kutawaza Waingiapo, maandiko ya kutafna mfanyakazi wa kike katoa kitabu cha IBRAHIMU ….ingawa aliniambia wanafanya kwa siri kutokana na waafrika wengi ni wapingaji, ambapo hata hawahitaji kibari cha serikali ili kusajili na kuliendeleza kanisa hili wao ni mbele kwa mbele. Kaniambia husali mwezi mmoja mmoja kila eneo na kuhama ili wasijulikane,
mara nyingi husali Kigamboni,Tandika,Pugu,Kibaha,Mbezi,Sinza na Tegeta kwa kuzunguka mwezi hadi mwezi kila jumapili saa 6 usiku. Na kanisisitiza wapo hadi wakubwa wan chi hii…..Nimeelezwa mengi kwakuwa nilionyeshwa ushirikiano wa kutaka kujua ingawa wanapenda kulinda siri zao na hujulishana kwa sms tena wana lugha zao……..
sasa je Hivi hizi dini zipo kwa ajili ya kuwakomboa binadamu kweli? Maana pia nimemkumbuka na Yule aliyetangazwa na BBC huko CONGO kwamba anajiita ni mungu wa tatu, na anawaumini wa kutosha….sasa kwa hili ibada saa 6 usiku leo labda waache kwa post hii.