Kanisa dogo kuliko yote duniani!

Steven mushi mushi

JF-Expert Member
Jul 25, 2016
533
739
de5677a3df60d3ac52c356bd618aac3a.jpg
Hili ndo kanisa dogo kuliko yote duniani.Kanisa hili linapatikana nchini marekani linaitwa CROSS ISLAND CHURCH lina urefu wa mita 1 na upana wake ni mita 3, hili kanisa limejengwa katikati ya maji na waumini wake hupaswa kutumia boti pindi wanapoenda kanisani pia lina fit kuchukua watu watatu pekee na lilianzishwa mwaka 1989. "God is present in everywhere and jesus was said If two or three of you gather together, I am there"
 
Soma vizuri bible kabla ya kuanza kuniita mpagani, Mimi ni mkristo mlutheri, hata leo nilikuwepo ibadani hapa USHARIKA WA NJIRO. Kanisa ambalo haliongezi waumini hilo sio kanisa bali ni kijiwe cha kupigia porojo!
Inawezekana mkuu wana waumini wengi ila kwa upande wa ibada huenda wana ibada nyingi mfano ibada ya 1,2......
 
Mbona huku kwetu kuna kanisa linaingia watu wawili patre na muumini mmoja tu ila halijitangazi
 
Back
Top Bottom