Kanirubuni kumbe mke wa mtu

ahsante ndugu yangu baada ya kugundua hilo nimeacha kabisa nashkuru mwanamke hanitafuti tatizo limebak kwa mumewe ila hope ataacha nayy junisumbua
 
Sasa mkuu, una uhakika gani kuwa hayuko humu jf. Wakati mwingine ni vizuri kuwa na siri yako mwenyewe. Sasa kama umemjibu kua hujasex na mkewe na hapa umetoa full details hadi mnayoongeleshana wenyewe, unaficha au unaweka wazi
hawezi jua maana story huwa zinafanana bro ndo mana hatutumii majina huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…