Kaniomba nizae naye!!

Ahsante mkuu kwa ushur ulio tukuka
 
Hapana boss hana mimba kabisaa nina uhakika na ninacho kisema
Una uhakika gani mkuu? Huyo ana mzigo tayari....anakuandalia mazingira tu ukilainika ndio unapewa breaking news.
 
Mkuu nina mirz saba sasq sjadet naye ataanzaje kisema ana mimba? Miez saba angkuwa nayeo angesha niambia lakin kaomba
Una uhakika gani mkuu? Huyo ana mzigo tayari....anakuandalia mazingira tu ukilainika ndio unapewa breaking news.
 
Thanks for sharing your experience.
Ubarikiwe mkuu kwa ushauri mzuri sana.
 
Ushuhuda:

Nimezaa na mwanamke ambaye ana maisha mazuri tu na yeye alinishawishi hivyo hivyo kuwa sitokusumbua kuhusu malezi ya mtoto nahitaji uniachie alama tu ya mbegu yako.

Kizaa zaa kilianza alipokuwa mjamzito Mara anapiga simu Saa sita za usiku uzuri simu nilikuwa sizimi naweza silent mode. Nikiamka asubuhi nakuta missed calls zake na SMS za kutosha tena lawama na matusi ya nguoni kwangu na mke wangu.

Ikanibidi niwe nazima simu ili kumkwepa yeye maana nilihofia ipo siku atapiga simu imkute make wangu yupo macho akiona ule mwanga wa simu anaweza kuipokea au kuniamsha niipokee ikawa gharika bure.

Alipojifungua akawa analazimisha niende kulala kwake angalau siku moja kwa mwezi nalo ikawa shida ugomvi mpaka sasa hivi mtoto ana miaka mitatu hatuna mawasiliano mazuri na maelewano yetu ni dhaifu sana.

Ninachoshukuru ni kuwa hapajui kwangu maana alishasema siku akipajua tu siku hiyo atakuja kujitambulisha kwa mke wangu ili ajue kuwa wapo wawili.

Ujumbe ninaotaka uupate hapa mkuu ni kuwa bora uachane na huyo mwanamke tu vinginevyo atakusumbua sana baadaye na ndoa utakuja kuiona chungu kwa tamaa ya muda mfupi tu.

Usije sema sijakuambia.

Take it from me
 
Utajutaa aliniambia anaweza kula ugali kwa kurumangia na kachumbari. Mambo yakiwa magumu wale viumbe wana zungumza Chochote
 
Kweli nimeamini kwenye miti hakuna wajenzi..... tehteehh [emoji23][emoji23][emoji23]
 
You better negotiate on your own, think teice, think rationally and very critical about the future life of your kid,

Mda mwingine anaeza kukuomba hivyo kumbe naye kashapachikwa na mwingine, ila sasa kinachobaki ni ujichengetu akubambikizie ili apate wakulea naye hiyo mimba na mtoto.

Hebu jitambue nduguyangu, amka kifikra.
 
Anajiita lewiathan, tafuta maana ya hili neno utajua kwa nini anafanya hivyo..
ingekua na furaha usingeanza mahusiano.tubu acha dhambi za kizembe/hasara
 
ukizaa nae utazidisha upendo home zaidi, amini hilo.....! usipoteze nafasi, sisi wanaume tupo wachache wenye kutia mimba, shauri yako....
 
ndoa yako haina furaha ila imejaa unafiki na hofu sababu unajua fika wewe unamchepuko na hofu yako wife asijue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…