Kanihangaisha miezi 3 kumbe anatumia mkorogo

St Lunatics

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
6,644
11,166
Mwezi wa November nilibahatika kwenda Tanga katika kuzunguka nikakutana na mtoto shombe shombe. Macho yalinitoka nikamuuliza mwenyeji wangu yule nani mwanangu? Mwenyeji akaniambia anakaa mtaa wa tatu kutoka nyumbani kwao.

Nilimfwata na kumsalimu alirejesha salamu na tabasamu la nguvu, mpaka tozi25 junior alipata mshtuko kidogo kwa lile tabasamu. Nikaomba namba yake na hapo ndio tukaanza kuchat na kupigiana simu kama marafiki, baada ya wiki mbili nikamueleza hisia zangu na alielewa bila ya kusita alikubali na kuwa wapenzi rasmi.

Weekend iliopita nilimuomba aje Dar kunitembelea nae alikubali kuwa atakuja Ijumaa na kuondoka jumapili. Alikuja kwa usafiri wa basi nilikwenda kumfata kituoni na kuondoka nae mpaka nyumbani kwangu Kigamboni.

Alikwenda kuoga na tulitoka kwenda kununua chakula na kutembea jijini mpaka saa 3 usiku tukarudi na kuangalia movie, tulikaa kwenye kochi huku tukiwa tumekumbatiana na kiss za hapa na pale. Moyoni nikaanza kujisemea hapa nataka niweke nanga(nitulie nae) yupo funny na ana tabia ninazo zitaka, kufika saa 5:45 nilimbeba na kuelekea nae chumbani. Tukaanza kutomasana na kushikana sehemu mbalimbali za meili. Niliweka muziki laini wa mix za R&B huku wimbo wa Usher wa nice and slow ukiimba na mwanga wa taa niliweka kwenye deem.

Ile anatoka chooni tu ukaja wimbo wa R.Kelly wa Seems like your ready, moyoni nikisema yesss huu wimbo umekuja wakati ndio kabisa. Aliniomba nizime taa kwasababu yeye hapendi mwanga wakati wa kufanya mambo yaleee mambo ya kiutu uzima, Tukalala pamoja huku tumekumbatiana moyo hapa ulizidi kuongeza asilimia za kudumu nae manake mzuri kitandani(sexual intercourse).

Kufika asubuhi tuliamka na kupata kimoja cha quick na kuelekea bafuni pamoja, Hapa ndipo nilipopigwa na mshangao naangalia sura ya shombe shombe lakini matak*o meusiii kama nyani wa Bahari zoo. Nilimuuliza kama anatumia mkorogo alikataa sikumuuliza tena tulivaa nguo na kupata breakfast,

Hapo mazungumzo yalipungua kidogo nae mwenzangu alijua kwa hilo. Tulitoka kwa mizunguko na baadae kuelekea Quality center kwa shopping halafu tukaenda kula pale Mkuki house mall kwenye Pizza Hut.

Tukiwa tumekaa huku tunakula pizza ndio akaanza kufunguka kama anatumia mkorogo lakini kama sipendi atumie ataacha. Nilimwambia ndio sipendi na alisema hatotumia tena lakini tatizo mimi nimejiwekea sharti kuwa siwezi kuwa na mwanamke anayetumia mkorogo na upande mwengine moyo ushapenda.

Tuliondoka na kuelekea Century Cinemax Oysterbay kuangalia movie alitaka kuangalia movie ya Kaabil. Leo asubuhi tunaondoka pamoja kuelekea Tanga lakini moyoni mpaka sasa upande mmoja unamtaka na anazo sifa za kuwa mke lakini upande mwengine wa moyo unakataa kwa mkorogo sasa sijui nimuache au niendelee kuwa nae, manake kaniahidi kuwacha kutumia mkorogo.
 
Ajahhahahahahahah weee mwambie ajichubue na huko ,,,halaf mi nilidhania ana makalio ya nyani kabisaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom