kaniacha wakati bado nampenda

Kupanga ndoa si tatizo,mipango si matumizi na si lazima everythng cn change at n time.Don't go wanaokushauri hivyo nao majeuri hawana jipya na pengne hawana hata huruma na wala HAWAJUI SAMAHANI NI NINI WAWAPO KTK MAPENZI.Rudi nyuma,angalia ulipokosea,rekebisha na usirudie tena huo ndo ubinadam na hayo ndo mapenzi,wanakushaur uachane nae kuna mambo hawayazingatii hata kwenye mapenzi yao.Kosa si kosa,kosa ni kurudia kosa,kosa moja aliachi mke.Wake up!
 
dadangu,wanaume wengi hatupendi/tunachukia tunapotukanwa,yaaani,ukichukulia bado hajakuweka ndani ya nyumba,kukupiga chini ni kama maji ya kunywa.
cha msingi anaweza akawa bado yupo ktk hasira tu, msubiri hasira yake itulie then JITAHIDI UWEZAVYO KUJISHUSHA,kumuomba msamaha,shirikisha hata na watu wa karibu wanaofahmu uhusiano wenu,watie nguvu kimtindo,nafkiri atakuelewa
USHAURI ZAIDI YA HAPA KESHAUONGEA BAK,SOMA USHAURI WA BAK,ALMOST COMPLETE/UNATOSHA
 
  • Thanks
Reactions: BAK
habari! jaman wanandugu mie nilikuwa na boyfrnd wangu 2lipendana sana akanitambulisha kwao na mwakan ilikuwa tufunge ndoa, sasa kuna siku tulikorofishana nikamjibu hovyo sana later nikamwomba msamaha akasamehe 2kawa happy siku moja usiku alnitxt akiniambia how much anafuraha coz anauhakika mimi ninampenda, kesho yake akaninunia hapokei simu wala sms mwisho akanipa kibut akidai hakunisamehe kosa lile la kumjib vbaya, nampenda sana sana naomba ushauri

Mamie give him smtime kama ni wako atakurudia tu! ila kwa ss uweke tu huo uhusiano wenu kwenye maombi mungu atakujib. ushaur tu kamwe usipende kubishana na ukwel.unauma bt unaukubali tu n then u move on.
 
Haina haja ya ku-move on wakati kwenye makalio kumetoboka,kaa chini fikiria vyema wap umeharibu, jifunze, kwan hata ukipata mwingine unaweza kurudia kosa lilelile na ukatemwa kama kohozi!!
 
pole alichokitaka keshakipata,tatizo la mabinti mkishahidiwa ndoa na kupelekwa kwao unaona tayari ni wako na unampa mikao yote
keshakuchoka huyo achana ne tulia utapata mwingine atakaekujali.sidhani kama kumsemea hovyo ndio sababu ya kukuacha kwani ni wazi wasixhana wakiudhika silaha yao ni kusema hovyo kwa mtu mwenye busara na upendo wa kweli hawezi kukuacha kwa sababu ya hilo tu.mabachelor wapo kibao au niseme tupo kibao.
 
nilikuwa na kademu fulani kanapenda sana kukasirika na kutukana,she was such a turn off.i think utoto na uzuri vilimfanya ajione babkubwa.angalia labda na wewe hupo hivi ujibadilishe.wanaume huwa tunafikiria mbali inawezekana alipiga picha akilini akaogopa usije ukarudia tena matusi kama hayo mbele ya watu au hata watoto wenu ambao mngezaa ukamuaibisha.am not judging you but before you go ask for forgivness jichunguze,ukikuta baya jibadilishe
 
thanx for comment,ukwel ni kwamba kwa miaka yote 6 tuliyodate sijawah mjibu vbaya wala kumpazia saut kila 2lipogombana nilikubal kushuka hasira zake zikimwisha ndipo nilpomweleza kwa upole makosa yake ila that day sijui ilikuwaje unajua kuna baadhi ya wanawake tukiwa kwenye period huwa tunahasira sana, ila after a day nilijishusha sana ndio akasemehe, wazee wake hawajui kitu na kwa sasa jamaa yupo nje kwa masomo, nachoshangaa jamaa hajanirudsha kwe2 wala hajawaambia wazee wake
 
alafu mie nawambie nyie wanawake muwe mwatupa mizigo bila commitment za kijinga nyie mwanaleta oh u cnt just use us...sasa ona jamaa kala mzigo na pia kakakupa false promise na siajabu ulianza tangaza kuwa utaolewa sasa uso utaficha wapi...loh!!!

nt kutangaza kuwa nimeolewa bt watu wanajua nimeolewa since nilfungshwa ndoa ya kimasai ya church ndio ingekuwa mwakan... anyway kuchekwa kwa talaka sio tatizo kwangu tatizo ni mapenz,bado nampenda
 
kumbe mlishafunga ndoa ya kimila? Waeleze wazee wazungumze nae. Kama kweli anakupenda atakusamehe. Au la huko nje alikoko kapata mwingine alikuwa anakutafutia sababu
 
Pole mwaya,ninachoweza kukushauri ni washirikishe watu wa karibu km washenga au ndugu waongee nae coz kwa ndoa hiyo ya kimila tayari mlishaoana,na kwa kosa hilo co la kukuacha kwan inaonekana ni la bahati mbaya kutoka na muds za period!ila namshangaa huyo mwanaume kwa miaka yote hiyo hajafaham kuna nyakati ww unakua na muds!otherwise alishakuchoka alikua anatafuta sababu!ikishindikana kubali matokeo mshukuru mungu amin huyo hakua wako,mwombe mungu akupe wako wa kufanana nawe,na yote yakabaki story tu.
 
Wamasai nawaogopa sana since kuna kijana aliwahi kumpiga kijana wa kimasai,nakumbuka walikuja mtaani kwetu kumsaka huyo kijana aliyempiga mmasai aiseee walitoa kipondo vibaya sana walikuwa kama wamasai 50 hivi yaani waliyatumia yale mapanga yao kila watakaye muona wanamtandika vibaya sana plus wakiwa na hasira wanatoa mapovu....hawa jamaa ni hatari na nilishasema siwezi kuwa na rafiki wa kimasai wala gf wa kimasai nawaogopa sana hawa watu.....
 
Unatakiwa ujue kuwa huyo ni kigeugeu halafu ni mjinga(nimekosa namna nyingine ya kumtafsiri)nimesema hayo kwa sababu amekufanyia hayo kwa sababu amejua unampenda!Jikaze na umfute kwenye mawazo yako kwani hata kama mtarudiana bado atakutendea vitimbwi vingi sana!Lakini kingine kinachokutesa sio upendo ni mihemko ambayo inakufanya usisikie vyema,hebu tulia wiki moja halafu uone kama utakua na mtazamo huohuo!
 
Ah!mdada wakujiona!!!
Mabovi na pole sana kwamaumivu yamapenzi naamini nimaumivu makali kushida homa, pole sana sister, lakini sina uhakika kama ulikua unampenda kweli kama unavyosema, kua unampenda sana sina uhakika 7bbu ungekua unampenda kweli usingesubu2 kufungua domolako nakumtamkia mwenzi wako maneno machafu mpaka achukie nakukataa kukusamehe, coz maumivu yamapenzi yanauma sana endapo akipiga moyo konde inakubidi uwemakini sana na mdomo wako, kua makini na mdomo wako,
 
Back
Top Bottom