Habarini za leo, poleni na majukumu.
Kuna post nilishaweka hapa inasema "mpenzi wangu hataki nimfuatilie mambo yake", juzi kanitamkia wazi wazi kua hanitaki tena. Kinachoniuma ni kwamba, pesa nilikua nampa. Lakini sijapata chochote kwake, tuliwekeana kua tutasubiriana hadi ndoa. Yani sijui nimfanyeje.