Kaniacha bila sababu

Shukuru amekuacha na biqra yako!
 
Kha? Nyota njema inaonekanaga asubuhi...we umejidanganya eti saa saba mchana itaonekana!! Hahahah kulaaleki.
 
Ai sasa pesa ulikuwa unampa za nini?? Kakuacha kakuona f.a. l a
 

aisee...kweli we mtoto mdogo. Pole msamehe...
 
Hahhahahahahah....kosa na alipokuona ----- ni ww kukubaliana nae hadi ndoa
 
pesa utoe, mahindi uchomeshwe eti ndoa mmh hapo wenzio utakuta wanajitafunia tu pole
 
kila kilicho chako utakipata hata nani afanye nini

na kila kisicho chako hutakipata hata ufanye nini
 
Pole xana, kwan ww hii Sera ya shake well before use hukuijuaga.
 

kwani mlikuwa mnafanya biashara ya mapenzi? unaweza kutumia mkataba mlioandikiana kumshtaki akurejeshee shekeli zako.
 
Hahahahahaha lol!!!! Heshima zako Mkuu tpaul.

kwani mlikuwa mnafanya biashara ya mapenzi? unaweza kutumia mkataba mlioandikiana kumshtaki akurejeshee shekeli zako.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…