Kaniacha bila sababu, moyo unaniuma


"Hakutaki" unataka ushauri gani? Mbona wanawake Ni wengi tu? Mwanamke akiwa mjasiri hivyo kukutesa ujue kakuloga
 
Hayo ndio madhara watu wanataka kuhave fun tu nyie mnafall mazima mkiachwa mnalia dah tupo tofaut sana Yan huyo ningempotezea mwenyew angeshangaaa haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…