Mbona TV na radio zote zimezungumza sana kashfa yake na wabunge wenzie kudai Kwa mkurugenzi Gairo rushwa milioni 30 ili kamati yao isimlipue?Elezea vizuri maana wengine smartphone tunemepata 2018 mwishoni kwahio hatuna habari..
Jamaa alikuwa na kesi ya wizi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa umewahi siti haya toa maoni yako sasa ili tuone uwezo wako wa kuelewa mambositi ya kwanza ,tusubiri majibu
Umepewa kazi takatifu sana na bahati nzuri umeianza Kwa mbwembwe nyingi sana ikiwa ni pamoja na kuvaa bendera ya taifa na kutembea na ilani ya ccm.
Lakini kama ilivyo mashaka kwa mchungaji au shehe mwenye rekodi ya ugoni kumpa kutatua migogoro ya ugoni, hivyo hivyo ni ngumu kumuamini Waziri mwenye tuhuma za kudai rushwa (sio kuomba) kumpa asimamie wizara inayo pambana na rushwa wakati kesi yake imeisha bila uwazi.
Ni wakati Kangi asimame hadharani atueleze majibu ya maswali ya hapo juu kuliko kukazana na mfupa wa Lissu ulio mshinda Mwigulu mtangulizi wake.
(Mods hili suala halipo mahakamani hivyo linakadilika)View attachment 1023705
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi?
Vetting inafanyika kweli siku hizi?
Miaka ya nyuma mtu akiwa na tuhuma tup, faili halirudi na kura ya ndio.
Lakini sijui bana!
Unasubiri supu kwa kuchemsha mawe ! Utasubiri mpaka kiama...siti ya kwanza ,tusubiri majibu
Kwenye vetting kuna tatizo kubwa kuliko inavyoweza kudhaniwa. Uteuzi unafanywa kwa kukomoa watu, kwamba "ngoja niwaonyeshe". Kuna watu wanakalia hizi ofisi kubwa za serikali lakini huku kwa wananchi inaonekana ni aibu na kuifanya serijkali ionekane kuwa ni ya hovyo hovyo na haiheshimiki tena!Hivi?
Vetting inafanyika kweli siku hizi?
Miaka ya nyuma mtu akiwa na tuhuma tup, faili halirudi na kura ya ndio.
Lakini sijui bana!
Toka tupishe unajaza nafasi bure wee msumbufu tu, unashindwa kufikiri!siti ya kwanza ,tusubiri majibu
Duh!!!!! Hii imezidi ukali mkuu..."chupi na matako"...!!!???