Nimeamini mkuu! Huyu Kangi kumbe msanii anajifanya kupinga mafisadi ili anusuru ubunge wake kumbe fisadi mkubwa!
Kangi atakuwa Jaluo. Jamaa katangaza nia ya kuomba ridhaa ya kupitishwa na CCM kuwa mgombea nafasi ya Urais kwa kujinadi na SAFARI YA MATUMAINI lakini ukimwangalia sura yake wakati anasoma yale makaratasi aliyoandaliwa. HANA MATUMAINI HATA CHEMBE.