Kangi Lugola kumuunga Lowassa; Lowassa ni Serikali 3?

Kangi Lugola kumuunga Lowassa; Lowassa ni Serikali 3?

nuruyamnyonge

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
4,439
Reaction score
2,287
Heshima kwenu jf;

Leo tumeshudia mbwembwe nyingi sana wakati Mzee Lowasa akitangaza nia rasmi ya kuwania nafasi ya urais ndani ya ccm.

Mbunge wa mwibara kangi lugola anachukia mafisadi na kuunga mkono katiba ya wananchi yenye serikali 3, je? Lowasa yuko serikali tatu? Sijawahi kumsikia Lowasa katika hili swala zito la katiba akichangia, leo Arusha tumejifunza nguvu ya pesa inalitesa taifa.

Karibu kwa kuchangia;
 
Yeye kama yeye kivipi?
Ile ni siasa,sio.mchezo wa.kuigiza,2016 anatakiwa apeleke maji jimboni,anapeleka na nn? masaburi?
Halafu mnadai lowasa mwizi MNA ushahidi?
 
Yeye kama yeye kivipi?
Ile ni siasa,sio.mchezo wa.kuigiza,2016 anatakiwa apeleke maji jimboni,anapeleka na nn? masaburi?
Halafu mnadai lowasa mwizi MNA ushahidi?

Kama hausiki na richmond kwa nini leo hakuzungumza kabisa richimond na alisema leo atalisemea! Hatudanganyiki bana!
 
Unampangia cha kuongea?na angeamua kuongea mngeweza kuvumilia?binadamu huwa hapendi kuambiwa ukweli funika kombe mwanaharamu apite
 
Unampangia cha kuongea?na angeamua kuongea mngeweza kuvumilia?binadamu huwa hapendi kuambiwa ukweli funika kombe mwanaharamu apite

Hahahaha! Ameogopa leo ndo ungekuwa mwisho wake thubutu! Mwambie aendelee kukaa kimya Richmond hachomoki!
 
mode unganisha huu uzi na u;e wa updates

Ndugu huu unahusu serikali 3 kangi anaunga mkono katiba ya wananchi maarufu katika ya warioba, Mzee Lowasa yuko upande gani? Huu ndo mtihani kwa Lowasa aache ububu aseme! Tunataka Tanganyika
 
Binafsi kwa logic ya kawaida kabisa sioni uwezekeno wa lowasa kukubali katiba ya sitta
 
@moderators . @mods unganisheni uzi huu na zile nyingine hamna jipya hapa.
 
Heshima kwenu jf;

Leo tumeshudia mbwembwe nyingi sana wakati Mzee Lowasa akitangaza nia rasmi ya kuwania nafasi ya urais ndani ya ccm.

Mbunge wa mwibara kangi lugola anachukia mafisadi na kuunga mkono katiba ya wananchi yenye serikali 3, je? Lowasa yuko serikali tatu? Sijawahi kumsikia Lowasa katika hili swala zito la katiba akichangia, leo Arusha tumejifunza nguvu ya pesa inalitesa taifa.

Karibu kwa kuchangia;

Pole kama ulidhani kuna msafi ccm.
 
Wasipomsimamisha Lowasa, UKAWA haitakuwa na kazi ya kampeni. Asubuhi tu ikulu
 
Back
Top Bottom